Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,118
- 2,551
Inategemea na afya ya mtu na mtu, yote hayo unayoeleza tuliyapitia kupitia yale mafua ya ajabu!Corona-19 inabania kwenye koromeo inasababisha matenzi na vidonda, na pneumonia
Inategemea na afya ya mtu na mtu, yote hayo unayoeleza tuliyapitia kupitia yale mafua ya ajabu!Corona-19 inabania kwenye koromeo inasababisha matenzi na vidonda, na pneumonia
Nakuja nipo sekei hukuNjoo uchukue
Mafua yanatofautiana kulingana na kirusInategemea na afya ya mtu na mtu, yote hayo unayoeleza tuliyapitia kupitia yale mafua ya ajabu!
Kwahiyo huyu wa corona ni tofauti na waliougua yale mafua?Mafua yanatofautiana kulingana na kirus
Yanautofauti, ndo maana covid-19 inashambulia mfumo wa upumuaji, kitu ambacho ni kigumu kwa mafua ya kawaidaKwahiyo huyu wa corona ni tofauti na waliougua yale mafua?
Na mimi kama nilipata hayo mafua. Sina kumbukumbu vizuriHabari wakuu
Mwaka jana mwishoni Dar ilikumbwa na ugonjwa wa mafua wa ajabu ambao ulisababisha wizara kutoa tamko kama linavyosomeka hapo chini
Kiukweli mimi nilikua ni mmoja wa watu niliougua mafua hayo, hali ile ilikua haina tofauti hata kidogo na hii corona wanayoisema sasa
Nilitembelea hospitali kama mbili hivi hapa mjini ili kubaini ni kitu gani kilinikuta,, homa ilikua kalo, kupumua kwa shida, joto kali sana lakini unaisikia baridi kali
Nilipimwa hospitali pasipokukutwa na gonjwa, ndipo nikalazimika mpaka kupiwa HIV lakini nayo hakuna!
Yale mafua yalinikondesha ghafla maana hata kula sikuweza
Leo ndio naikumbuka hii barua ya wizara, naicompare na COVID 19
View attachment 1409898
Yale mafua na COVID 19, dalili zake karibu zote zinafanana!Yanautofauti, ndo maana covid-19 inashambulia mfumo wa upumuaji, kitu ambacho ni kigumu kwa mafua ya kawaida
Habari wakuu
Mwaka jana mwishoni Dar ilikumbwa na ugonjwa wa mafua wa ajabu ambao ulisababisha wizara kutoa tamko kama linavyosomeka hapo chini
Kiukweli mimi nilikua ni mmoja wa watu niliougua mafua hayo, hali ile ilikua haina tofauti hata kidogo na hii corona wanayoisema sasa
Nilitembelea hospitali kama mbili hivi hapa mjini ili kubaini ni kitu gani kilinikuta,, homa ilikua kalo, kupumua kwa shida, joto kali sana lakini unaisikia baridi kali
Nilipimwa hospitali pasipokukutwa na gonjwa, ndipo nikalazimika mpaka kupiwa HIV lakini nayo hakuna!
Yale mafua yalinikondesha ghafla maana hata kula sikuweza
Leo ndio naikumbuka hii barua ya wizara, naicompare na COVID 19
View attachment 1409898
Tuwekee picha tuone mwili ulivyorudiHawawezi kuelewa...cough plus hazikunisaidia mimi, nilikuja kupata nafuu na tuvidonge fulani hivi vidogo dogo kimoja kinauzwa buku.
Halafu yale Mafua yanakondesha balaa, nilipungua ndani ya siku 3 cha ajabu yalivyoisha mwili ukarudi wenyewe.
Mjep pitia huku
Hili ndio jibu sahihi kabisa.Inategemea na afya ya mtu na mtu, yote hayo unayoeleza tuliyapitia kupitia yale mafua ya ajabu!
Mkuu kwa hiyo watu wanavyokuambia walikuwa hawawezi kupumua huelewi bado?Yanautofauti, ndo maana covid-19 inashambulia mfumo wa upumuaji, kitu ambacho ni kigumu kwa mafua ya kawaida
Na covid-19 kwa jina lingine inaitwa respiratory illness
Je walienda kupima wakaambiwa ni covid-19 hawakwenda, sio Kila homa ni malariaMkuu kwa hiyo watu wanavyokuambia walikuwa hawawezi kupumua huelewi bado?
Mkuu unatambua jambo kwa matunda yake,Corona ni jina tu dalili ni zilezile, Kwanza hata madakitari hawakujua ni kitu gani( Rejea barua ya Wizara), Wewe jina ndio linakuchanganya na jinsi ugonjwa ulivyokuwa overrated.Je walienda kupima wakaambiwa ni covid-19 hawakwenda, sio Kila homa ni malaria
Hatuendagi hivyo kwa point yako unamaanisha hakuna haja ya vipimo kitu ambacho sioMkuu unatambua jambo kwa matunda yake,Corona ni jina tu dalili ni zilezile, Kwanza hata madakitari hawakujua ni kitu gani( Rejea barua ya Wizara), Wewe jina ndio linakuchanganya na jinsi ugonjwa ulivyokuwa overrated.
Dalili ni zile zile, wenzetu mafua ya aina yoyote kwao ni tishio, soma statistics za WHO Uone watu wangapi wamefariki mwaka jana kwa ugonjwa wa mafua kabla ya the so called Corona.
Mkuu wangapi hapa wamesema walivyoenda hopitali hawakupatikana na kitu? Na bado walikuwa na dalili zilezile?Hatuendagi hivyo kwa point yako unamaanisha hakuna haja ya vipimo kitu ambacho sio
Overated kwa hiyo hao wanaosema tujikinge ni wajinga wewe ndo unaakili
Habari wakuu
Mwaka jana mwishoni Dar ilikumbwa na ugonjwa wa mafua wa ajabu ambao ulisababisha wizara kutoa tamko kama linavyosomeka hapo chini
Kiukweli mimi nilikua ni mmoja wa watu niliougua mafua hayo, hali ile ilikua haina tofauti hata kidogo na hii corona wanayoisema sasa
Nilitembelea hospitali kama mbili hivi hapa mjini ili kubaini ni kitu gani kilinikuta,, homa ilikua kalo, kupumua kwa shida, joto kali sana lakini unaisikia baridi kali
Nilipimwa hospitali pasipokukutwa na gonjwa, ndipo nikalazimika mpaka kupiwa HIV lakini nayo hakuna!
Yale mafua yalinikondesha ghafla maana hata kula sikuweza
Leo ndio naikumbuka hii barua ya wizara, naicompare na COVID 19
View attachment 1409898
Huyo jamaa hua namkubali sana hua habahatishi, laiti ningekua ngosha Deception angekula shavu wizara ya afya au ningemtupia NIMR.Deception Njoo huku broo kuna shuhuda za kutoshaa... taratibu wataanza kukuelewa tu broo good work
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Mimi ilinikuta hii yaani hata kuinuka nahisi maumivu kifuani Kama mtu ananikandamiza ,mafua ,home Kali ,mwili kuishiwa.nguvu nilipima kila kitu nikatoka fresh lakini bado nilikuwa naumwa .
Eti vikapotea vyenyewe
Hadi leo April sijagusa hata aspirin
Sent using Jamii Forums mobile app