Mr worldwide
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 348
- 737
Habari wakuu,
Mwaka jana mwishoni Dar ilikumbwa na ugonjwa wa mafua wa ajabu ambao ulisababisha wizara kutoa tamko kama linavyosomeka hapo chini.
Kiukweli mimi nilikua ni mmoja wa watu niliougua mafua hayo, hali ile ilikua haina tofauti hata kidogo na hii corona wanayoisema sasa. Nilitembelea hospitali kama mbili hivi hapa mjini ili kubaini ni kitu gani kilinikuta, homa ilikua kali, kupumua kwa shida, joto kali sana lakini unaisikia baridi kali.
Nilipimwa hospitali pasipokukutwa na gonjwa, ndipo nikalazimika mpaka kupiwa HIV lakini nayo hakuna!
Yale mafua yalinikondesha ghafla maana hata kula sikuweza
Leo ndio naikumbuka hii barua ya wizara, naicompare na COVID 19