Kwa tikitaka ya michango, siamini eti ndo CHADEMA itakufa. CHADEMA bado ipo sana sana

Halafu wewe unataka kuharibu speed ya MICHANGO we NI CCM unatumika hili SWALA sio la kichama hili NI SWALA la kuhami demokrasia kwa wale vigogo wanahitajika ZAIDI uraiani kuliko huko korokoroni ndo maana watu wote wanachanga na hata sishangai hata wewe pengine hujatoa hata Mia 5

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapima uimara wa chama kwa michango ya shilingi milioni 200 na kusema ni chama imara?

Wewe kweli ni Naantombe Mushi!
Sawa Nabii Tito
tapatalk_jpeg_1571937092693.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo mana nika define limit ya masaa 24 yaliyopita. Uwe unatumia akili. Ina maana unataka nipime uimara wa chama kwa kura, kwani kuna uchaguzi umefanyika saa 24 zilizopita?

Ndo mana CHADEMA wanazidi kuwaburuza maana hamuelewi namna ya kujibu hoja bila kuwa na mihemko.
Muonee huruma huyu MsemajiUkweli hapo sindano inamuingia taratibu ndiyo anarusha miguu kwa uchungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti CHADEMA wanatuburuza!

Kama CHADEMA wangekuwa wanatuburuza si wangekuwa wako madarakani. Mtu ameshika mpini halafu wewe umeshika makali halafu unajisifia eti unamburuza!

Ndio maana nimesema wewe kweli ni Naantombe Mushi kwa sababu hujui dhana nzima ya uimara wa chama kwa sababu unadhani uanaharakati ni uimara wa chama!
nakusihi tulia sindano ikuingie vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapima uimara wa chama kwa michango ya shilingi milioni 200 na kusema ni chama imara?

Wewe kweli ni Naantombe Mushi!
Ukitaka kuamini nguvu ya Umma iko upande wa CHADEMA, mwambie Mwenyekiti wako wa CCM ambaye ni Rais wa Nchi ajaribu kuitisha mchango hata wa Milioni moja tu uone kama kuna mwananchi atajigusa zaidi ya Mataasisi na Mashirika tena kwa lengo la kujitangaza kwenye media..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti CHADEMA wanatuburuza!

Kama CHADEMA wangekuwa wanatuburuza si wangekuwa wako madarakani. Mtu ameshika mpini halafu wewe umeshika makali halafu unajisifia eti unamburuza!

Ndio maana nimesema wewe kweli ni Naantombe Mushi kwa sababu hujui dhana nzima ya uimara wa chama kwa sababu unadhani uanaharakati ni uimara wa chama!
Kwahiyo michango imetollewa na wanaharakati?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ajabu kwa kweli maana hapa kitaa tumehasishana sana kuchangia kwa chichote Wana wamejitoa mpaka 250000 harafu kwa ambao hawana smartphone hawana habari kivile
 
Ni ajabu kwa kweli maana hapa kitaa tumehasishana sana kuchangia kwa chichote Wana wamejitoa mpaka 250000 harafu kwa ambao hawana smartphone hawana habari kivile
 
Mkuu umechanga shingapi?
Yaani unapima kukubalika kwa chama au kutokubalika kwa kutumia mchango wa milioni 300 katika taifa lenye wananchi milioni 60 ambapo ndani yake kuna mabilionea!

Kipi cha ajabu katika nchi yenye wananchi milioni 60 ambapo kuna mabilionea

Kila chama kina ushawishi ndio maana kilipata usajili wa kudumu.

Kumbuka kuwa na ushawishi kwa watu ni suala moja lakini kuwa na ushawishi kwa watu wengi ni suala lingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti CHADEMA wanatuburuza!

Kama CHADEMA wangekuwa wanatuburuza si wangekuwa wako madarakani. Mtu ameshika mpini halafu wewe umeshika makali halafu unajisifia eti unamburuza!

Ndio maana nimesema wewe kweli ni Naantombe Mushi kwa sababu hujui dhana nzima ya uimara wa chama kwa sababu unadhani uanaharakati ni uimara wa chama!
Wao wanawaburuza kwa hoja,nyinyi mnawaburuza kwakutumia vyombo vya dola

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti CHADEMA wanatuburuza!

Kama CHADEMA wangekuwa wanatuburuza si wangekuwa wako madarakani. Mtu ameshika mpini halafu wewe umeshika makali halafu unajisifia eti unamburuza!

Ndio maana nimesema wewe kweli ni Naantombe Mushi kwa sababu hujui dhana nzima ya uimara wa chama kwa sababu unadhani uanaharakati ni uimara wa chama!
Kwahiyo na wewe tunaweza kupima upunguani wako kwa kuangalia "likes" ambazo umepata kwa saa mbili zilizopita? Maana huna like hata moja....njegere wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom