Kwa teuzi hizi za rais 2020 utaendelea kushangaa

Aaron

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
3,019
4,693
Maneno yangu yanukuu. Uchaguzi wa mwaka juzi ulionekana ukishangaa kwa uozo uliokuwa umetanda nchini. Pia na kudumaa kwa uchumi wa taifa kila hotuba yako ulikuwa unashangaa tu.

Nakuhakikishia ifikapo 2020 kwenye kampeni utaendelea kushangaa maana hutakuwa hata kiwanda cha kujisifia. Utaendelea na hotuba zako za kushangaa. Teuzi zako ndio zitakuangusha.
 
Hahaha bavicha kama kawaida yenu...sasa mmehamisha majeshi sio vyeti tena bali uteuzi wa mama salma.

Kwa kudandia matukio hamjambo. Mnayo hasara kubwa maana lumumba ndio wanawapangia nini cha kusema na kudebate...poleni sana.
 
Mimi naona kamteua huyu ili kuhamisha mjadala wa kijana wake Mpendwa Daudi Albert Bashite na gamba la kupora,tuanze jadili huyo mbunge.
 
Huyu mfalme anaonekana hayuko sawa kichwani, haya anayoyafanya sio ya mtu mwenye utimamu wa akili. Samahani kwa kusema hivi, ni kwa lengo zuri tu, ili ikiwezekana akapimwe akili ili atibiwe na nchi yetu itapona hakika.

Exactly nimemshangaa sana..

Kuna muda Mh Kikwete atapenda kutulia na mke wake lkn wakt huo Mke atakuwa mjengoni
 
Hahaha bavicha kama kawaida yenu...sasa mmehamisha majeshi sio vyeti tena bali uteuzi wa mama salma.

Kwa kudandia matukio hamjambo. Mnayo hasara kubwa maana lumumba ndio wanawapangia nini cha kusema na kudebate...poleni sana.

Usilete ushabiki kwenye vitu vyaa msingi Kuna haja gan ya kumteua Mke wa Rais mstaafu kuwa Mbunge?

lengo lake n nn hasa?
 
Hahaha bavicha kama kawaida yenu...sasa mmehamisha majeshi sio vyeti tena bali uteuzi wa mama salma.

Kwa kudandia matukio hamjambo. Mnayo hasara kubwa maana lumumba ndio wanawapangia nini cha kusema na kudebate...poleni sana.
Kama waandishi wa habari tu kaz yao kuvizia tukio
 
Wakuteua na kutenguliwa wakiisha Sijui atafanya kazi gani tena pale ofisi kuu ya watanzania
 
Back
Top Bottom