GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,573
- 108,930
CID si polisi haoHuko Eagle Wing house; kuna watu wa aina mbili tu ambao ni "COVERT NA OVERT" hawa overt ndio wenye shida hiyo unayoizungumzia sasa mana nao wamegawanyika kuna "Suveilensi na ripota" shida kubwa hasa ipo kwa hao ripota na lau kidogo suveilensi ambao wamo na transpota huwa ni ngumu kuwajua na wanaheshimu sana kazi zao kuliko maripota lakini pia maripota nao wamefanikiwa kujizuia japo si wote!!
Covert huwezi kumjua hata kama ni baba yako na hapa ndo unakutana na madeep spy nk...
Lakini watu walioharibu jina la Usalama wa Taifa ni hawa walioko chini ya kitengo cha CID(criminal investigation department) au hupenda kuitwa "IO" yani Intelligence officer. Hawa ndo mademu zao wanatamba mtaani kuwa mabwana zao ni usalama wa taifa, na hawa ndo wakilewa wanajitapa mtaani kuwa "unajua mi ni nani" hawa ndo mnaowaona wengi huko mtaani mkidhani ni usalama wa taifa.
Key rule ya usalama wa taifa ni kutoatract tension, na hapo ni somo pana sana kwao so ni ngumu sana aisee!!!
Hata yule big ambaye ni PSU wa Ngosha, miaka ile anasoma MALIMBE kitivo cha sheria hakuwahi kujisifu kabisa wala hatukumjua kabisaaa mpaka alipomaliza ndio tukaanza kumuona kwenye misafara ya wakubwa.Usalama jinsia ya kike ndo wanaweza, nlikua na swahiba wangu wakike, nmesoma nae chuo miaka mitatu, sijawahi kugundua ni usalama, mpaka tumemakiza chuo......mara tulipomaliza nashangaa anamlinda mke wa......
Noma sana
Huku kuwa huko ni sifa hivyo lazima watu mitaani wajue wewe ni nani.. Kwa wenzetu hiyo ni kazi nyeti yenye miiko yake kama kazi nyingine hivyo miiko ya kazi lazima izingatiwe.
Huku yanazingatiwa sana maslahi ya CCM hivyo lazima watoke hadharani kuitetea CCM, kwa wenzetu maslahi ya nchi kwanza hivyo wako serious kulinda maslahi ya nchi na si mtu, watu au kikundi cha watu.
Ndio ni polisi ila ndo wale tunaowaita askari kanzu, yani nao huwa hawafahamiki kwa kuwa wanavaa kiraia sana na mara nyingi tupo nao kitaa, sasa aina yao ya kazi ndio imefanya watu wengi tushindwe kuelewa usalama wanafanyaje kazi na ni nini miiko yao. Hawa IO wanaact tabia za UT hivyo si ajabu ukutane na mtu akwambie yule ni UT kumbe ni IO.CID si polisi hao
Hata yule big ambaye ni PSU wa Ngosha, miaka ile anasoma MALIMBE kitivo cha sheria hakuwahi kujisifu kabisa wala hatukumjua kabisaaa mpaka alipomaliza ndio tukaanza kumuona kwenye misafara ya wakubwa.
Kama paschal mayalla aliweza kujua baba na mama yake ni wanaidara unategemea nn ?!!
Hahaha pole sanaMkuu umenichekesha hadi Njaa yote imeniisha ghafla.
Hahaha pole sana