Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,418
Nakubaliana na nyie nyote wadau, ila upande wa pili kwanini mshkaji hakumuandikia binti japo text message kwamba "baby nalala mapema nimechoka sana leo"
Ndio kama unaamini kua kitu chochote mwenyezi mungu amekuandikia kua ni chakwako basi utakipata...
Nimekuelewa mkuu vizuri sana ila kwa mleta meda ameongea kwa upande wake only,na daima naamini kwenyezi mungu akikupangia uolewe na nani wapi mda gani hakuna wakupinga,hiyo yote hua sababu na watu kulaumiana,huyo mdadaUnayoelezea ni kweli lakini upande mwingine bi dada anakosea, kwanini asipokee simu ili ajue kunani? Haya sms hajibu ndio tabia gani sasa? Ni muhimu ukishaamua kuwa kwenye mahusiano ukubali kuwa na subra, hekma, kiasi, kusamehe, heshima, adabu na utii.
Niliwahi kuchumbia bidada mmoja mrembo mzuri tu ,tatizo lake ana hasira anaweza akakukata hata na kisu, na kwa urembo wake alikuwa mjeuri sana- kwa kisa kama hicho hicho cha mleta mada hakupokea simu wala kujibu sms zangu wiki tatu niko safarini. Siku nimerejea hataki hata kukaa na mimi tuongee, pamoja na kumbembeleza saaana na kumsihi aliishia kuniambia nanukuu " mimi huwa siachwi naacha" nikaona basi isiwe tabu. Nikashika yangu baada ya kuumia sana.
Tulikaa hivo kwa takribani miezi mitatu kimya kimya, nikaizoea ile hali maisha yakaendelea. Asianze kunitumia sms ananiuliza ina maana ndio nimeachwa au? Nikawa mpole tu namjibu vizuri tu.
Ikawa akinitafuta yy poa tu nikimtafuta analeta mapozi, mwaka unakatika haeleweki mguu ndani mguu nje. Siku nilipompata wa kunifaa ndio akili zikamkaa sawa. Sio kwa kulaumu kule hadi leo hajaolewa ameishia kuzalishwa watoto watatu kila mmoja na baba yake. Eti mimi ndio nilimpa mkosi haolewi umri unaenda tu - kwendaaaaaaaaaa.
Hekima ni jambo jema sana
Mhh acha bhana siku 3 mtu hajibu sms hapokei sim ubusy gan huo,acha aendelee kusugua bench"Simu hapokei message hajibu" mbona mpendwa mko hivyo?? rafiki yako alipigiwa simu hakupokea ukasema amelala fofofo ndo maana hakupokea simu.huyu dada hapokei simu mmesha exaggerate kumuita atakosa ndoa hana adabu hana busara. Hana subra. Je mnajua kilichompata na yeye huko ndo maana hapokei wala kujibu simu ????? Kama na yeye kalala fofofo je?? Au yuko busy???.mtu kuwa na miaka 30 haimaanishi kwamba kwamba sasa ndo atetemeeeke kisa ndoa.kama ipo ipo tu.sio kila aliyeolewa ana tabia njema wengine malaya na wameolewa.wengine wana watoto hadi sita kila mmoja na baba yake na akaja kuolewa na mtu tofauti kabisa.Ndoa haina fomula.unaweza ukawa na heshima na usiolewe vilevile.Mtu kujiheshimu iwe ni kwa faida ya yeye mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa alipitiwa tu akalalaNakubaliana na nyie nyote wadau, ila upande wa pili kwanini mshkaji hakumuandikia binti japo text message kwamba "baby nalala mapema nimechoka sana leo"
Ngoja akose ndoa badae aje hapa kulialia umri umeenda!Kisa mwanaume mashine mfyuuuuiuiii! Ndoa hupwangwa na mungu akigairi juamkono wa munngu unafanya kazi
Dada wa watu ateswe kisa ana 30 ? Anaegairi ukute kibamiaaaa nae anaimba mwanaume mashine hajui alikuwa anavumilia kha. Ndoa raha sio karaha
Kweli mkuu hii ni sababu tuHazimtoshi naye huyo. Au alikuwa anatamtafutia huyo mwanaume sababu. Mana hata kama ni mahaba ya dhati hayawi hivyo.
Na upande mwingine huyo mwanaume alikosea kwa sababu hata kama alichoka kufahamishana nako sio vibaya.