Weeeeh!!! kwani hupendi kunjunjwa???Duuh...
Nimewaza tuu ingekuwa hivyo kwa binadamu..... matatizo mengi sana yangepungua na kutoweka. ...
Pia tenda la ngono lingeheshimika sana na siajabu kusingekuwa na kubakwa, mimba zisizotarajiwa n.k. n.k.
Weeeeh!!! kwani hupendi kunjunjwa???
Mngekuwa mmejazana wanawake tu, dunia ingekuwa na watu wachache sana!!!Nimewaza tuu.....
Hapo mapenzi yangekuwa ya ukweli na ya dhati na si mapenzi ya kubanjuana. Ukikuta mtu anaamua kufa kwa ajili ya orgasm basi huyo ana mapenzi ya kweli kwa mpenziwe.
Kwa utafiti huu jinsia ya ke hapo haina shida maana wao wataendelea ku survive baada ya me kufika kileleni na kuzima.

Mungu hawezi kuwa na mawazo kama hayo kamwe.Duuh...
Nimewaza tuu ingekuwa hivyo kwa binadamu..... matatizo mengi sana yangepungua na kutoweka. ...
Pia tenda la ngono lingeheshimika sana na siajabu kusingekuwa na kubakwa, mimba zisizotarajiwa n.k. n.k.
Mungu hawezi kuwa na mawazo kama hayo kamwe.
Mngekuwa mmejazana wanawake tu, dunia ingekuwa na watu wachache sana!!!
.....ilaaa tungekuwa kama nyuki tu, malkia ndiye anazaa na madume wangekuwa wachache wengine waliobaki vibarua![]()
![]()
![]()
![]()
...nimejaribu kuangalia kwa makini lakini nimeshindwa kuziona hizo korodani za nyuki!!!Nyuki dume akifika kileleni, korodani zake hupasuka na kisha hufariki dunia.
![]()
We learn two key facts, 1. All bees are orphans. 2. They were all conceived in anonymous place 'in air'.The Dramatic Sexual Suicide
In a colony, there are thousands of workers bees, a few hundred drones, and one queen bee. All worker bees are female and are assigned different tasks to perform -- nurses to take care of larva, construction workers to bond together thousands of wax cells into honeycomb, janitors to keep the hive clean, guards to protect the hive, and last but not least the food finders and gatherers. The male bees or drones have no stingers and do not produce honey. Basically they do nothing, laze around and leave all the work to the busy worker bees. They have only one purpose in life - to mate with the Queen.
Honey bee mating is a dramatic example of sexual suicide in the insect kingdom. The drones die in the act of mating. Honey bee sex intercourse takes place in mid-air. The queen flies out in search of mates and the drones swarm around and compete for the chance to mate with their queen. Eventually, a successful drone grasps the queen and inserts his penis tightly into the queen's reproductive tract. The explosive force from the ejaculation causes the tip of his penis to rupture and be ripped off from its body and left behind inside the queen. The drone falls to the gound and dies quickly. The queen mates with about a dozen of drones in just one nuptial flight and normally will have enough sperm to be stored in her sperm pouch to fertilize all the eggs for the rest of her life. (The Biology of the Honey Bee. Harvard University Press. p. 41)
Hata pia kwa wanawake wangemimbika wachache sana kama my wife tu!Duuh...
Nimewaza tuu ingekuwa hivyo kwa binadamu..... matatizo mengi sana yangepungua na kutoweka. ...
Pia tendo la ngono lingeheshimika sana na siajabu kusingekuwa na kubakwa, mimba zisizotarajiwa n.k. n.k.
Mmm kwa binadamu ingekuwa hivyo mi nisinge gegeda ng'oo chezea kufa wewe!!!Duuh...
Nimewaza tuu ingekuwa hivyo kwa binadamu..... matatizo mengi sana yangepungua na kutoweka. ...
Pia tendo la ngono lingeheshimika sana na siajabu kusingekuwa na kubakwa, mimba zisizotarajiwa n.k. n.k.

Nakushukuru sana kwa kutoa UKWELI kuhusiana na TAFITI ya kile kinachotokea baada ya MATING FLIGHT ....The Dramatic Sexual Suicide
In a colony, there are thousands of workers bees, a few hundred drones, and one queen bee. All worker bees are female and are assigned different tasks to perform -- nurses to take care of larva, construction workers to bond together thousands of wax cells into honeycomb, janitors to keep the hive clean, guards to protect the hive, and last but not least the food finders and gatherers. The male bees or drones have no stingers and do not produce honey. Basically they do nothing, laze around and leave all the work to the busy worker bees. They have only one purpose in life - to mate with the Queen.
Honey bee mating is a dramatic example of sexual suicide in the insect kingdom. The drones die in the act of mating. Honey bee sex intercourse takes place in mid-air. The queen flies out in search of mates and the drones swarm around and compete for the chance to mate with their queen. Eventually, a successful drone grasps the queen and inserts his penis tightly into the queen's reproductive tract. The explosive force from the ejaculation causes the tip of his penis to rupture and be ripped off from its body and left behind inside the queen. The drone falls to the gound and dies quickly. The queen mates with about a dozen of drones in just one nuptial flight and normally will have enough sperm to be stored in her sperm pouch to fertilize all the eggs for the rest of her life. (The Biology of the Honey Bee. Harvard University Press. p. 41)
No research no right to speakNyuki dume akifika kileleni, korodani zake hupasuka na kisha hufariki dunia.
![]()
Hata pia kwa wanawake wangemimbika wachache sana kama my wife tu!