Kwako uache elfu 2 halafu utegemee kuku? Most of us Africans kuchepuka its in our DNA mwanaume hajioni kama katimia bila ya kuwa na sehemu ya kujitangaza boss wakati kwa mkewe akiba yake ya maandazi bado anaichukua. Na kwa mwanamke hivyohivyo anaenda kutoa ujuzi kwa anayetoa bila hata kuulizwa. Michepuko ni dhambi tusijisahaulishe.
Hizo nyama anazopika mchepuko fedha anatoa Nani? Toa fedha kwa mkeo upikiwe nyama Safi , hizo za mchepuko unaweza kukuta zina mchanganyiko na midawa ya kumzuzua mwanaume.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.