Kwa Stand Up Comedy Joti ni Bora 1000 times Mc Pilipili ambaye analazimisha fani

Andaa basi tupige kura zkifka 50 inatosha kutafta mshidi la sivyomtabishana mpaka basi,kwangu Mimi wote wazur ila kiboko yao ni mpoki uyu bwana kwauchekeshaji hapa bongo sioni km ana mpinzani huo mm ndomtazamo wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
usiumie sana hayo yote ni mtizamo wangu na wewe una wako ambao na uheshimu. nlitaka kukwambia tu mimi stand up comedy nazifaham pengine kabla hujazaliwa au hujapata akili. anyway..wewe kama unampenda pilipili si umwite kwenu mkanuwe naye chai??????????? ikiwa wewe kweli si pilipili mwenyewe maana yupo humu na IDs zake watu wanzifaham.
Unaweweseka tu humu. Huifahamu stand up comedy. Plain. Simple fact. Mambo ya umri nimeshakwambia hayahusiani.
 
Mc pilipili analazimisha watu wacheke, walau joti! Japo joti kwa stand up comedy hawezi kivile kumpita mpoki! Ila linapokuja suala la luningani joti hafaiiiii!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Joti kuchekesha ktk maigizo yake sio lazma aweze pia kuchekesha ktk stand up comedy,stand up comedy ni ngumu tofauti na maigizo ya kutengeneza.lakini ni vizur tukaacha tabia ya kugeneralize mambo,binafsi ktk wachekeshaji wanaonichekeshaga sana tu ni pamoja na Mc pilipili,wakat mwingine hv vitu vinataka uwe una sense of humour and less serious na uwe umejiweka ktk mood ya kuchekeshwa.
Umeongea point sana ni sawa na kusema ebitoke kisa anachekesha afanye standup comedy kusimama zaidi ya saa na kuchekesha watu sio kazi ndogo

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Umeongea point sana ni sawa na kusema ebitoke kisa anachekesha afanye standup comedy kusimama zaidi ya saa na kuchekesha watu sio kazi ndogo

Post sent using JamiiForums mobile app
Point hiyo
 
Labda hujui maana ya stand up comedian
Joti anachekesha kwa clip comedy
Lakini mc pilipili ni bingwa wa stand up comedy bongo hii
Au waulize stand up comedian unaowajua wa hapa bongo wakwambie

Mc pilipipi is the best

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom