Kwa staili hii utamu unaongezeka

Mkuu hivi vitu ni vizuri lakini huwa wengi hatuna mazowea kama tikiti maji huwa nawaona machina basi na hii ramba ramba kwa watoto na makadada zetu ndio hupenda sana basi na ukipata muda tuletee kila aina ya vikali au mfano wa chibuku maana sisi medume ndio hoob yetu na bei zake usiweke fanya siri kama mtungi wa maji isipokuwa kata thank you brother
 
health is to eat what u don't like.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…