Kwa staili hii Kinondoni hata kwa bure sikaiii mweeeh

Hata kama ni biashara kwa staili hii hata wateja hapati labda huyo mteja awe chiz... na huyo chiz sijui kama atamlipa.. Hi ni kali.. mchana kweupe brbani uchi!!! Ni Mtz huyu???? Halafu ni mtu mzima... loh kachukiza kama nini!!!! Aghaaaaa!!
 
Yani amejaa ukimwi kila sehemu...

Don't judge a book by its cover, anaweza kuwa mzima kuliko inavyoweza kudhaniwa. Watu kama hawa katika jumuiya ya watu wengi hawakosekani. Hii ni aina tu ya kichaa, centre ya aibu katika ubongo wake imekufa, hajitambui hapo alipo!
 
Tuliombee taifa letu!Ila sahihisho ni kuwa kumuona mtu kinondoni si kama anakaa kinondoni!!Yawezekana anakaa sehemu nyingine kama nawe ulivyomkuta maeneo hayo!!
 
Hata yeye haipendi shughuli hiyo - ndiyo maana ana Konyagi kumsaidia kupunguza aibu. Ni shida ya ajira.
 
mpk mtu mzima kufikiria haya, then hali ni mbaya kuliko tunavyofikiri.....:twitch:
 
Jamani hamna kazi mnashangaa shangaa! kashangaeni bungeni waziri anatumia dk4 kumpa valentine mkewe, dk2 kujibu swali! kashangaeni pia mambo ya Tgwadanganyika, na dowans.....nknknk.
Aacheni zenu hizo mwenzenu nchi imemchanganya sasa angalau ajipe raha mwenyew tatizo nini? ingekuwa usiku wengi mngeanza ujogoo pori.
basi jamani!
 
Aisee, ingawa uso una mikunjo, mimi nimezimia tu ule usafiri wake LOL Aloo mama ana leg-line poa!
 
Huko ni kudata na maisha...Duuh! ukiwa na mzazi kama huyo ni balaa maana hapo ndio kavaa kiheshima usiku inakuaje ?
 
Back
Top Bottom