Kwa staili hii Kinondoni hata kwa bure sikaiii mweeeh

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
Mwanamke huyu ambaye jina lake halikuweza kupatikana akipita katika maeneo ya Kinondoni Biafra karibu na kituo cha mabasi huku akiwa ameshiklia kiloba cha Konyagi na huku akivuta sigara akiwa kama unavyo muona vijana kwa watu wazima walianza kumkodolea macho huku akina mama wakimchangia mpesa aweze kuchukua taksi laikini aliamua kujinunulia pombe ya kiloba, Duh ama kweli kinondoni ina wenyewe...


attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
 

Attachments

  • DSC_1076.JPG
    DSC_1076.JPG
    74.5 KB · Views: 5,195
  • DSC_1092.JPG
    DSC_1092.JPG
    100.7 KB · Views: 5,080
  • DSC_1043.JPG
    DSC_1043.JPG
    77.7 KB · Views: 5,038
  • DSC_1105.JPG
    DSC_1105.JPG
    61.8 KB · Views: 4,958
  • DSC_1063.JPG
    DSC_1063.JPG
    79.7 KB · Views: 5,011
Jamani inasikitisha, aibu sana, na ni mtu mzima labda anamatatizo ya akili,
Hawezi kuwa mzima huyu!
 
Maisha bora ya jk kwa kila mtazania huku hali ya uchumi inazidi kumwelemea mwananchi wa kawaida.tutegemee vichaa na wendawazimu wengi tu zaidi ya hawa.
 
Ni malaya huyo hata global publishers walishawahi kumtoa. Ni aibu aisee kama ndiyo mzazi wako anafanya vitu utumbo kama hivyo.
 
Huyu ni mzima sio kichaa wala mwendawazimu. Ndo ajira yake hiyo. Haki sawa kwa wooote.
 
jamani napata shida kidogo hapa ... nani wa kulaumiwa hapa? Mamlaka ya nchi au huyu bibi aliyeamua kupiga uchangudoa mchana kweupe? Tafakari kama Mmisri!! Chukua hatua kuelekea Tunis!!
 
Back
Top Bottom