Kwa staili hii CHADEMA kimeisha

Wewe utakufa na utaicha CHADEMA ikiwa bado ni moto wa kuotea masafa marefu kwa Ma gamba na wasaliti wote.

mkuu umept dengue nn chadema ishapoteza droping rate 120km/h
 
Kwi kwi kwi kwi kwi I told you before that you can do better that this, please try again. This is just too low 🙂🙂

zito.leticia.shivbuda.arfi.nasari huenda wakailiza chadema2015
 
Kwi kwi kwi kwi kwi I told you before that you can do better that this, please try again. This is just too low 🙂🙂

hey guy r u std7?cant u c the crack within
 
mkuu umept dengue nn chadema ishapoteza droping rate 120km/h

huu ujinga unaoandika umeshaandikwa hapa toka 2009,huyo zzk ameshajifia mwenyewe kama wasaliti wengine walivyokufa kibudu.Wasaliti wote lazima watimuliwe bila kujali wao ni kina naini cdm. Kama wapo hao unaodai wataondoka,kwa nini wasiondoke sasa? Na kwa nini hujiulizi sababu zinazomfanya kinara wao asiondoke aendelee kung'ang'ani cdm ni nini?
 
not end of game.sterling hafi kirahisi
 
lol!!!!! hujitambui weye!!!! Kama unadhani hao uliowataja ndio wataimaliza CHADEMA 2015, basi bado una safari ndefu sana. Endelea kubwabwaja na nyimbo zako "zilipendwa" hivi umeshaanzisha threads ngapi za kufa kwa CHADEMA hadi sasa!? Sijui kama unaijua hata idadi kamili. Usisahau kupita pale Lumumba tatu asubuhi kesho kuchukua bakshishi yako ya kuanzisha uzi uliojaa pumba tupu.

hey guy r u std7?cant u c the crack within
 

TIS @ work.
 
In fact, you are a simple look-less person, you better look for another job to do...


 

UZURI WAKE NI KWAMBA kila MTU HUMU JF AMEKUJUA NA AMEKUDHARAU SANA !
 
Reactions: BAK
Mbona hamleti mambo mapya, kila kukicha nyimbo ni hizohizo tu... CHADEMA imekufa, imefufuka, imetawanyika, imezimia, haihemi, haipumui, taarifa za ndani, taarifa za chooni, taarifa za sebuleni, taarifa za jikoni... Lini mtaleta kipya?
 
Reactions: BAK
Kwani kufa kwa CHADEMA wewe kikumacho nn!

Mbona easy tu no longer at easy
 
1.Ukabila.

2.Udini.

3.Ukanda.

Na ubaguz wa waz waz ndan ya chama hiko umekiua moja kwa moja.

Pamoja na kwamba ccm imeshindwa moja kwa moja lakin chadema kimekosa qualifications za kuwa mbadala wake.

Kama Mnabisha tuombe uhai 2015.
Unaimba nyimbo zilezile za kipuuzi kama zezeta vile!
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…