assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
1.Ukabila.
2.Udini.
3.Ukanda.
Na ubaguz wa waz waz ndan ya chama hiko umekiua moja kwa moja.
Pamoja na kwamba ccm imeshindwa moja kwa moja lakin chadema kimekosa qualifications za kuwa mbadala wake.
Kama Mnabisha tuombe uhai 2015.
zito msaliti.leticia nyerere msaliti.shibuda msaliti.arfi msaliti.nasssar msalit. iki chama kwishneiKwi kwi kwi kwi kwi lol!!!! Hahahahahahahaha we heard this song before, but there are no fans out there to fall in love with your song. Please try a new song ππ
zito msaliti.leticia nyerere msaliti.shibuda msaliti.arfi msaliti.nasssar msalit. iki chama kwishnei
Chadema imekalia kuti kavu.Operation zote wanazozipanga zinafeli, sasa hivi wamejificha nyuma ya mgongo wa UKAWA..CHADEMA IMEPOTEZA MVUTO KWA WATANZANIA
Kama Ccm!!!
kama ni mfatiliaji wa siasa za bongo utajua bila shaka yoyote chadema inadrop kwa kas ya ajab. baada ya kumwita zito ni msaliti na kususa ht mambo ya kifamiliaya zito chadema wamekosa mvuto na wanadrop kwa kasi ya ajab. ni juz mdee alimtuhum mbunge mwenzie leticia km ni msaliti.wapo waliwah kumwita shibuda ni msaliti. .bila shk baadhi ya wabunge 2015 wataiacha chadema. kutrhibitisha haya dr slaa amekimbilia ukawa na kujifanya haini mtifuano mzito pale ufipa. taarifa za ndani ni kuwa wapo wanasuburi mda appropriate ufike mambo yawe hadharani.
Chadema imebaki mifupa nyama walishakula akina Slaa na Lema
Kama ni mfatiliaji wa siasa za bongo utajua bila shaka yoyote CHADEMA inaanguka kwa kasi ya ajab.
Baada ya kumwita Zitto ni msaliti na kususa hata mambo ya kifamilia ya Zitto CHADEMA wamekosa mvuto na wanaanguka kwa kasi ya ajabu.
Ni juzi Mdee alimtuhumu mbunge mwenzie Leticia kama ni msaliti.Wapo waliwahi kumwita Shibuda ni msaliti.
Bila shaka baadhi ya wabunge 2015 wataiacha CHADEMA.
Kuthibitisha haya dr. Slaa amekimbilia UKAWA na kujifanya haini mtifuano mzito pale Ufipa.
Taarifa za ndani ni kuwa wapo wanasuburi muda appropriate ufike mambo yawe hadharani.
kuna wabunge washachoka kuburuzwa chadema. subiri muone