Kwa staili hi kitandani Mimi Leo Ni mateka!!

Freewine

JF-Expert Member
Jan 7, 2018
257
212
Wakuu kwema
Muda c mrefu nimetoka kwenye mihangaiko yangu kwenye banda la chipsi.
Kwa sababu muda umeenda nikaamua kupita mtaa Fulani shortcut ili niwahi kufika gheto kwangu (mtaa mwingine)
Nikiwa natembea kwa miguu huku nawaza na kuwazua namna nitakavyoboresha biashara yangu nikimbizane na malengo niliyojiwekea, ghafla nikapatwa mashika namna mtaa huo ulivyo kimya tofauti na nilivyo uzoea ukizingatia ilikuwa saa 3 usiku huu.
Nikiwa naendelea na mawazo hayo na utafiti kipi kimetokea kwenye mtaa huo, ghafla nikasitushwa na difenda ya police iliyo kuwa ikija upande nilipokuwa kwa Kasi Sana.
Dooh! Nikaona isiwe tabu ukizingatia mtaani hapo leo watu wamewahi kulala labda Kuna msala!! Basi kabla halijanifikia Hilo defenda Mimi nikalala mbele kwa spidi zisizo elezeka. Kama vile wale jamaa walikuwa wamedhamilia waje wanishike Basi wakaongeza spidi kunifata.
Haikupita mida nikasikia risasi kama mbili nyuma yangu zikinifata ila hazikunipata. Nikazidi kupanic kumbe Ni vita, looo! Usiombe risasi zikakulilia karibu yako Ni nusu kifo.
Basi ckukata tamaa nikaongeza spidi ya kukimbia huku nikiingia vichochoroni. Kumbe wale askali nao wameshuka kwenye gari wananikimbiza mguu kwa mguu. Mazoezi yangu kidogo kwnye riadha yakanipa spidi ya kwenda kwa Kasi kuwazidi kidogo.
Nikaona upepo unazidi kukata kutokana na umbali nilivyokimbia
Mbele kushoto mwa uchochoro nikaona Kama nyumba nzuri hivi ila Kama mlango haujafungwa. Basi nikakata Kona ghafla na kuipalamia nyumba hiyo lengo niwapoteze hao maaskali.
Kweli ikawa hivyo nikaweza kukimbilia ndani ya nyumba hiyo mpaka sebuleni then kwa haraka nikarudishia mlango kuufunga halafu nikajitupa chini Kama mzigo.
Pumzi kama ya do mbili nikaamka huku nimepiga magoti kuona mazingira ya chumba hicho.
Sikuamini macho yangu yalipotua juu ya mwili wa mdada mrembo uchi wa mchama akila uroda juu ya mshikaji ambaye wote siwafahamu.
Ile kuniona tu wote wawili wakanisonya na kuendelea na mchezo wao.
Hakika nimechanganyikiwa namna huyu mtoto alivyomrembo mzigo wa maana huku nyuma, rangi ya mwili wake Kama soda ya orange, nywele amesuka Rasta zinafika mgongoni. Lakini kibaya zaidi wanaendelea kula mchezo bila kunijali demu yupo kwa juu ya mshikaji alafu anadeka kweli na anazungushwa Zigo Kama lote hakika leo nimepatikana(mteka kifungoni) nikifikiria msala ulioko huko nje naogopa kutoka maana nawasikia kabisa hao askali wakisema wakinikamata nitajuta humu ndani nako nyumba yawatu nimeivamia ili nipate msaada watu wanakulana mzigo
Cijui nifanyeje!!?
 
Kwa hiyo wale askari walienda wapi..
Au walikuwa askari ndotoni..
Eti risasi mbili zilipigwa hazikunipata..
 
Back
Top Bottom