MCHUNGAJI: Mgeukie jirani yako na umwambie Mungu yumwema, WAUMINI wote wakageukianana kusema Munguyumwema, MCHUNGAJI: Leo nitawaombea wale wote wasio zaa, mgeukie wenzio na umwambie leo utapata mimba,mara likasikika bonge lakofi siti za nyuma! Kumbe mtoto mmoja alimgeukia babayake na kumwambia leo utapata mimba.....duh kazi kweli kweli..