Kwa spidi na uzalendo unaooneshwa na Rais Magufuli yawezekana kabisa 2020 wananchi wakaichagua CCM badala ya watu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,718
143,156
Niwe mkweli uchaguzi uliopita sikukiangalia zaidi chama bali wagombea.

Ndiposa jimboni kwangu Kawe kichwa nilichagua kutoka CCM na wasaidizi wake nilichagua Chadema.
Matokeo yalipotoka Rais na mbunge nilifanikiwa lakini diwani nilipoteza baada ya uchakachuaji.

Uchaguzi wa 2020 nitachagua mafiga matatu kutoka CCM na hii itafanywa na wananchi wengi kutokana na kazi kubwa inayofanywa na Mwenyekiti wa CCM ambaye ndio Rais wetu pia.

Kama kweli lile chekeche la kamati kuu ya CCM litafanya kazi sawasawa kuengua wezi na mafisadi basi bunge lijalo litakuwa na 95% ya wabunge kutoka CCM hiyo 5% watapata wapinzani kutoka Zanzibar City.

Msihudhunike makamanda haya ni mawazo yangu tu.

Maendeleo hayana vyama!
 
.
IMG_20190616_061830.jpeg
 
Kwa kweli kazi uliyotumwa kuifanya unajitahidi sana. Kazana sana kijana nadhani UDSiii unanukia. Ila ukumbuke hili ni jukwaa la "thinkers",kwa hiyo ningekushauri utafute wenzako uendelee na Injili ya Ccm.
 
CCM BILA POLIS NI WEPESI KAMA KARATASI tu mbona mmekuwa waoga mnoo ATI???
 
Niwe mkweli uchaguzi uliopita sikukiangalia zaidi chama bali wagombea.

Ndiposa jimboni kwangu Kawe kichwa nilichagua kutoka CCM na wasaidizi wake nilichagua Chadema.
Matokeo yalipotoka Rais na mbunge nilifanikiwa lakini diwani nilipoteza baada ya uchakachuaji.

Uchaguzi wa 2020 nitachagua mafiga matatu kutoka CCM na hii itafanywa na wananchi wengi kutokana na kazi kubwa inayofanywa na Mwenyekiti wa CCM ambaye ndio Rais wetu pia.

Kama kweli lile chekeche la kamati kuu ya CCM litafanya kazi sawasawa kuengua wezi na mafisadi basi bunge lijalo litakuwa na 95% ya wabunge kutoka CCM hiyo 5% watapata wapinzani kutoka Zanzibar City.

Msihudhunike makamanda haya ni mawazo yangu tu.

Maendeleo hayana vyama!
Umeanza kuwehuka mbatizaji johnthebaptist
 
Mimi ninashukuru hii elimu yangu ninayotoa ya kuhakikisha watu hawapigi kura inaeleweka. Kila mahali ninapotoa ushauri huu katika watu 10, sita wanaafiki, wengine watatu wanakaa kimya, na mmoja tu ndio anaonyesha ataenda kupiga kura. Hivyo inaonyesha katika wapiga kura 22m, watakaojitokeza kupiga kura hawatafikia 10m, na katika hao 10m-, Magufuli atapata kura 3m-5m- tena kwa kuchakachua. Maana yake ni nini, ni kwamba watu wengi ambao hawatapiga kura hawaridhishwi na aina ya utawala wake. Hivyo tutakuwa na rais asiye na uhalali wa kuwa rais.
 
Niwe mkweli uchaguzi uliopita sikukiangalia zaidi chama bali wagombea.

Ndiposa jimboni kwangu Kawe kichwa nilichagua kutoka CCM na wasaidizi wake nilichagua Chadema.
Matokeo yalipotoka Rais na mbunge nilifanikiwa lakini diwani nilipoteza baada ya uchakachuaji.

Uchaguzi wa 2020 nitachagua mafiga matatu kutoka CCM na hii itafanywa na wananchi wengi kutokana na kazi kubwa inayofanywa na Mwenyekiti wa CCM ambaye ndio Rais wetu pia.

Kama kweli lile chekeche la kamati kuu ya CCM litafanya kazi sawasawa kuengua wezi na mafisadi basi bunge lijalo litakuwa na 95% ya wabunge kutoka CCM hiyo 5% watapata wapinzani kutoka Zanzibar City.

Msihudhunike makamanda haya ni mawazo yangu tu.

Maendeleo hayana vyama!
Umeandika kishabiki mno. Siasa ni kama dini, uhuru wa kuchagua uingie wapi ni wako, japo wapinzani kwa Tanzania wapo kikaangoni. Kushinda ccm ni lazima, si hoja tena. Uwanja, waamuzi na washangi liaji ni wao, watashindwaje?
 
Hahahaa......!
 
Niwe mkweli uchaguzi uliopita sikukiangalia zaidi chama bali wagombea.

Ndiposa jimboni kwangu Kawe kichwa nilichagua kutoka CCM na wasaidizi wake nilichagua Chadema.
Matokeo yalipotoka Rais na mbunge nilifanikiwa lakini diwani nilipoteza baada ya uchakachuaji.

Uchaguzi wa 2020 nitachagua mafiga matatu kutoka CCM na hii itafanywa na wananchi wengi kutokana na kazi kubwa inayofanywa na Mwenyekiti wa CCM ambaye ndio Rais wetu pia.

Kama kweli lile chekeche la kamati kuu ya CCM litafanya kazi sawasawa kuengua wezi na mafisadi basi bunge lijalo litakuwa na 95% ya wabunge kutoka CCM hiyo 5% watapata wapinzani kutoka Zanzibar City.

Msihudhunike makamanda haya ni mawazo yangu tu.

Maendeleo hayana vyama!
Ni kweli maana Makinikia yote tumelipwa kudadeki ! Hapa kazi tu !
 
Kazi mzuri anayoifanya iko wapi ? Ya kuwafanya wananchi mafukara ,ya kuteka ,kuua ,kufunga kwenye viroba ,kuua mzunguko wa pesa ,ya kushindwa kuajiri toka 2016 , kushindwa kupandisha madaraja ,kuongeza mishahara ,kutoa milioni hamsini kila kila kijiji ,kutekeleza bajeti kwa chini ya asilimia 35 kwa miaka mitatu ,kuharibu mahusiano ya kimataifa na wawekezaji , ya kubomolea wananchi nyumba zao ,kazi mzuri ya kuiba tilioni 2.4 ,kazi mzuri ya kununua kivuko kibovu ,ya kuuza nyumba za serikali kwa vimada ,kuliingizia taifa hasara kwa kuvunja mikataba kiholela ,kazi mzuri ya kuua demokrasia na utawala bora .
 
Back
Top Bottom