Fortunately sisi tuna CCM na Kikwete. Niliwahi kumsikia Kikwete akitoa excuse kuwa ni rahisi kwa Rwanda kuendelea kwa sababu ni nchi ndogo kuliko Tanzania kulingana na ukubwa wake. Akasahau kuwa China na marekani ni ma-nchi kubwa sana lakini yameendelea!!
mawazo mgando yanatuchelesha kugundua wapi tumekwama na hivyo tufanye nini kujikwamua.kama hata la Rwanda kutuzidi spidi ya maendeleo kuna anaepotosha, tutakaa sana hapa chini kwa muda mrefu.