Mh, kama anaweza vunja Mabaraza ya kata, ambayo yapo kisheria, kesho nawaapia atatangaza kuvunja Magistrates court. Ngoja imhukumu "mpendwa wa mkojo" na bangi kuwa na hatia! mtaona. Mkuu wa mamlaka za mahakama hizi ajiandae kwa pigo hilo!
Kweli kabisa kila mtu anamuogopa si waziri si mbunge sijui katibu mkuu wote kimya wakiulizwa wanajeuka mabubu wengine ooh tumeshamalizana naye mara ameshajieleza wamekuwa mbwa koko wote