Kwa sisi wanandoa tu!

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,527
1,405
Ni staili IPI unapenda kuitumia kupumzika na shemeji wakati ukitafuta usingizi
f05b3b728596b886a22b6926bc17308f.jpg
 
Woooiii kiukweliii me ikishafikaa muda wa usingizii sitakagii kugusana na mtuu labdaa tukiwa kwenye kipindi cha uzalishajiii baada ya hapoo kilaa mtuu na ustaarabu wakee kwenye kukoromaa
 
Woooiii kiukweliii me ikishafikaa muda wa usingizii sitakagii kugusana na mtuu labdaa tukiwa kwenye kipindi cha uzalishajiii baada ya hapoo kilaa mtuu na ustaarabu wakee kwenye kukoromaa
Wewe utakuwa msukuma au mkurya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom