Wale wenzangu ambao hatunywi Pombe naomba mnisaidie kunitajia vinywaji ambavyo huwa mnakunywa mkiwa mmetoka (out) natamani Sana kutoka kwenda sehemu za starehe maarufu ila nikifikiria kinywaji nitakachoenda Kunywa huwa nakata tamaa kabisaaa nakugairi kutoka!
Really u ghairi kutoka kwa sababu hunywi.hebu jiamini.agiza maji yako ya baridi na mishkaki pembeni.unanikimbusha kuna siku nilitoka na ma Shost wangu.tukajiagizishia soda.kuna mtu pembeni yetu akatuuliza kama tunaumwa.au mtu huna uwezo kumbe ni maamuzi ya mtu. Jiamini hayo maji yanatosha