Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,438 Aug 18, 2017 Thread starter #41
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,438 Aug 18, 2017 Thread starter #42
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,438 Aug 18, 2017 Thread starter #43
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,438 Aug 18, 2017 Thread starter #44
W Wimsha JF-Expert Member Joined Dec 8, 2015 Posts 518 Reaction score 504 Aug 18, 2017 #45 Sky Eclat said: Click to expand... Dizaini hii huwa ndoa zao zinadumu na upendo wa kufa mtu.. Hakuna kamati za kipigaji hapo
Sky Eclat said: Click to expand... Dizaini hii huwa ndoa zao zinadumu na upendo wa kufa mtu.. Hakuna kamati za kipigaji hapo
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,438 Aug 18, 2017 Thread starter #46
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,438 Aug 18, 2017 Thread starter #47 Wimsha said: Dizaini hii huwa ndoa zao zinadumu na upendo wa kufa mtu.. Hakuna kamati za kipigaji hapo Click to expand... Gauni la bibi harusi ni kubwa kidogo inawezekana lilikodishwa kanisani kwa masister hakuna kuongeza wala kupunguzwa.
Wimsha said: Dizaini hii huwa ndoa zao zinadumu na upendo wa kufa mtu.. Hakuna kamati za kipigaji hapo Click to expand... Gauni la bibi harusi ni kubwa kidogo inawezekana lilikodishwa kanisani kwa masister hakuna kuongeza wala kupunguzwa.
abdalah Kelenge JF-Expert Member Joined Jul 3, 2017 Posts 266 Reaction score 203 Aug 18, 2017 #48 Ndoa ndoano subiri itakuhuhook Sent using Jamii Forums mobile app
barafuyamoto JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 32,404 Reaction score 29,811 Aug 18, 2017 #49 This is priceless!! Hawa wameruka vigingi vyote.
W Wimsha JF-Expert Member Joined Dec 8, 2015 Posts 518 Reaction score 504 Aug 18, 2017 #50 Sky Eclat said: Gauni la bibi harusi ni kubwa kidogo inawezekana lilikodishwa kanisani kwa masister hakuna kuongeza wala kupunguzwa. Click to expand... Niliwahi kuishi mji mmoja unaitwa ndanda huko gauni na suti zote zinatoka misheni pamoja na mchele mafuta ya kula na maharage ya kutosha sherehe. mkiwa na bahati baba mchungaji wa kizungu anakuja kula wali na maharage
Sky Eclat said: Gauni la bibi harusi ni kubwa kidogo inawezekana lilikodishwa kanisani kwa masister hakuna kuongeza wala kupunguzwa. Click to expand... Niliwahi kuishi mji mmoja unaitwa ndanda huko gauni na suti zote zinatoka misheni pamoja na mchele mafuta ya kula na maharage ya kutosha sherehe. mkiwa na bahati baba mchungaji wa kizungu anakuja kula wali na maharage