Kwa shida na raha

Hahahah....ili utekelezaji uende sambamba na kauli Lazima Kumshirikisha mungu kwa kiasi kikubwa kwa sababu changamoto ni nyingi na kingine watu kabla wa kuingia kwenye ndoa tunakuwa na mategemeo makubwa sana na pindi tukishaingia na kugundua kwamba yale matagemeo ni mapichapicha uvumilivu unakwisha na ndio hapo vurugu na dharau zinaanza kuchukua mkondo wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…