Kwa sasa ungefanya nini?

Konakali

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
1,533
263
Huu mkasa umetokea, lakini ichukulie ni wako...! Imagine wewe unaye BF/GF/Wife/Husband, ambaye upo naye kwa miaka zaidi ya mitano sasa, na pengine mmeshazaa! Na kama ulitokea mapishano ni madogomadogo tu ambayo mliyamaliza wenyewe na hakuna vinyongo vilivyofuatia. Mlipendana sana, na wala hujawahi kuhisi kuwa na mahusiano mengine nje ya yale ya kwenu...! Kwa muda wote huu wewe mwenyewe hukuwa mwaminifu kwa 100%, lakini naye hajawahi kukuhisi chochote hadi leo, ambapo ulistaafu na kuamua kutulia tangu karibu mwaka mmoja sasa...! Lakini kwa namna moja ama nyingine, ukapata uhakika/ushahidi kuwa kumbe naye alikuwa na mahusiano mengine tofauti na ya kwenu huko nyuma na mtu mwenyewe husika unamfahamu, lakini ukapata pia ushahidi kuwa wamekwisha achana tangu miaka miwili hadi sasa...! Je, utamuonesha kuwa umegundua hilo? Au utapiga kimya? Ikitokea ukamuuliza, then naye akakiri kuwa ndiyo ilikuwepo, utafanya nini?
 
YALIYOPITA SI NDWELE ...........
alifanya nilifanya so...............
km anafanya sasa ndo pbm bt mambo ya historia ya nin?
ulishndwaje kumbamba siku izo umbambe sasa?afu ulete kelele?
KANYAGA TWENDE ...MAVI YA KALE......
 
YALIYOPITA SI NDWELE ...........
alifanya nilifanya so...............
km anafanya sasa ndo pbm bt mambo ya historia ya nin?
ulishndwaje kumbamba siku izo umbambe sasa?afu ulete kelele?
KANYAGA TWENDE ...MAVI YA KALE......
But, will you let him/her know?
 
don't judge a spouse 4 his/her past, unless hiyo past yake alikuwa anatembea na waathirika lakini kama ni mzima na ameacha hivyo vitu mnasonga mbele hamna haja ya kukumbushana kwani utakuwa unauumiza moyo wako kwa wivu angalia maisha yako ya sasa na kama hayana matatizo basi songesheni life. Cha maana ni upendo, amani na uaminifu si kingine mavi ya kale hayanuki
 
But, will you let him/her know?

Wazee wetu wa zama zile walilelewa na kupewa miongozo mizuri sana katika kushughulikia mambo ya wizi kwenye mapenzi. Kwenye simulizi za jandoni nakumbuka moja wapo ya simulizi ambayo ilieleza kuwa wanaume waliooa walikuwa wakienda safari wakati wa kurudi walikuwa hawaendi majumbani mwao moja kwa moja. Badala yake walitanguliza kamzigo kwa kuwatuma watoto waliokuntana nao ili kumpa mama fursa ya kuweka mambo sawa, mathalan, kufuta miadi yake na hawara.
Lazima ujiulize malengo ya kutaka yeye ajue, maslahi kwa mahusiano yenu yapo?
 
YALIYOPITA SI NDWELE ...........
alifanya nilifanya so...............
km anafanya sasa ndo pbm bt mambo ya historia ya nin?
ulishndwaje kumbamba siku izo umbambe sasa?afu ulete kelele?
KANYAGA TWENDE ...MAVI YA KALE......


yaloyopita si ndwele tugange yajayo,mavi ya kale hayanuki, hahaha....... hapo nakukubali rose,ila inaumaaaaaaaaaaaaaaa
 
du, una maamuzi magumu sana Da Womanizer!sasa hapo huyo demu wako unampenda au upo nae tu mnasogeza siku??
Demu kitu gani bwana....hawa mademu ukiwaendekeza sana unaweza kuwa chizi tu. Mi huwa namega tu....hayo ndiyo matumizi ya demu kwangu. Kama akiamua kumegwa huko nje kimpango wake.
 
Demu kitu gani bwana....hawa mademu ukiwaendekeza sana unaweza kuwa chizi tu. Mi huwa namega tu....hayo ndiyo matumizi ya demu kwangu. Kama akiamua kumegwa huko nje kimpango wake.

safi sana hiyo, siku utakapoamua kuoa,ntaomba niwe mshenga wako!!!!!
 
Back
Top Bottom