Kwa sasa ITV haina tofauti na TBC

wanatoka katika mwelekeo .wa kijamaii. ukiangalia taarifa zao nyingi ni viongozi huyo kasema huyu kaonya ,habari za jamii hasa ,suala la maji ,kero mbalimbali ,wanazikwepa kero za wafugaji na wakulima huripotiwa kama vile sio kero bali migogoro ,elimu wanagusia kwa mbali
 
ITV wapo kibiashara na uwezi kumpangia mtu biashara yake afanyeje.Hata wakisifia sishangai kila mtu atetee biashara yake,madhara ya kufungiwa aijuaye anayefungiwa.Bora watii magizo kutoka juu kwa usalama wao.
 
fungua TV station yako ili vipindi vyote vijazane hotuba za mwenyekiti ( mugabe), matamasha ya makarai, na mafuriko ya 2015 ili mjifariji.

Tambueni kuwa vyombo vya habari ni uwekezaji wa mitaji ya watu sio Ruzuku za bawacha lazima waendane na matakwa ya serikali iliyoko madarakani.

Acheni kujiweka kuwa eti mnanyanyaswa, kazi zenu kupost selfie na majeruhi badala ya kuwahi huduma.
 
5631f5f0e463416c6cbdd6caaea3f1f2.jpg

Hata hili nalo eameshindwa kupongeza?
kwa hiyo hizi picha ndio mnatumia kutafuta public sympathy?
 
Back
Top Bottom