Kwa ripoti ya CAG utarusha bunge live?

mwembemdogo

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
2,282
1,252
WanaCCM wenzangu hebu tuwe wakweli nadhani sababu za Bunge letu kuwa la kificho ziko wazi .Hebu tuendelee kupata mambo toka Kwa CAG wetu."HAPA KAZI TU"
 
Back
Top Bottom