Kwa rasimu hii, CCM inakufa

Ni mwanzo mzuri wa muungano fake kuishia na ccm kufikia tamati!!!!
 
"RASIMU" hili neno lina maana gani???? Wana JF hebu nijuzeni tafadhali.
 
Hapa magamba yameuawa na mgombea binafsi na pia Tume huru,
 
Hii ni katiba ya jamhuri ya Tz mmbo ya ccm yanatoka wapi? Wavivu wasiopenda kufanya kazi ndio wanaopenda ccm itoke madarakani , wanaota
 
Hii ni katiba ya jamhuri ya Tz mmbo ya ccm yanatoka wapi? Wavivu wasiopenda kufanya kazi ndio wanaopenda ccm itoke madarakani , wanaota
Subiri utaona tu,si unajifanya kutokujua? Hii katiba ni parent Law ambapo katiba nyingine za tanganyika na zanzibar lazima zi comply na hii,they shall be unconstitutional if they are repugnant with the parent law,ndo maana tunasema NEC CCM Wahamie kuuza tembo kazi wanayoiweza
 
Wakiwa na akili ndio watajisafisha na kujipanga upya. Hii si kwa CCM pekee ni kwa kila chama.
 
Weka chuki binafsi pembeni. Tujadili mambo ya msingi. Heri ninayejifanya mwandishi kuliko anayefanywa kwa kuwa hayuko shallow!

That is extremely low.... kwa Manyerere aliyekuwa anaandika katika magazeti la Jenerali Ulimwengu....hukutakiwa kumjibu hivyo ulivyojibu kiongozi
 
Usitafute huruma hapa! Jadili hoja. Nimesema kwa rasimu hii, kama tutapata Katiba mpya kwa mapendekezo yaliyomo, CCM itakuwa inakabiliwa na kifo. Kama una maoni tofauti, yaweke hapa. kashfa na vijembe si mambo ya waungwana.
Wewe umeleta thred ya kijinga halafu unategemea ujibiwe kiungwana???? Hii ni katiba ya nchi sio ya chama, kama una mahaba na ccm, chadema au cuf huko huko, hapa umebugi meeeen!!!!!
 
Kujidai kwako mwandishi na gazeti lako uchwara ningetegemea ukomenti kuhusu uhuru wa vyombo vya habari ila kwa kuwa wewe ni mwandishi kanjanja unayeishi kwa kutegemea wagombea urais umekimbilia siasa na ccm
 
"RASIMU" hili neno lina maana gani???? Wana JF hebu nijuzeni tafadhali.

rasimu kwa kiingereza ni draft,..toleo ambalo linawekwa wazi kwa ajili ya maoni,linaweza kubaki lilivyo,kuongezwa au kupunguzwa..
 
Msisitizo wangu..kwa wadau wote tuisome rasimu ya katiba kwa umakini ili tuweze kutoa maoni makini ambayo yametasminiwa kimakini ili watu makini waweze kupatikana kwa umakini kwa ajili ya kutengeneza katiba makini ambayo itakuwa na umakini katika kutekeleza mambo makini katika nchi yenye watu makini
 
mwenye soft copy ya rasimu yake tafadhali atuwekee humu.
 
naanza kuona siasa ikiwa na fujo sasa, maan kila mmoja atataka kuwa mgombea. mtu wakimzingua kwnye kura za maoni anaenda private candidate.
 
Let us wait and see what will happen at near future.......kupambana na ccm ni sawa na kucheza kamari, unaliwa au ule. Kwan wao ushindi kwa nilazima hata kwa njia za giza
 
Inapendeza ila utaratibu ufuatwe. Na kama huna cha kuchangia kaa kimya bhana
 

Ccm wana akili sana, hayo waliyajua mapema ndiyo maana imehodhi wajumbe wa mikutano ya katiba kwa wilaya zote nchini. yatakayo kuja kubalika na kupitishwa ndiyo utagundua maajabu hayawezi kwisha Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…