Kwa raha zao; wala hawaoni shida

Kwa raha zao; wala hawaoni shida

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,092
1411542777937.jpg
 
Inawezekana kabisa kwamba mazingira hayo hayafai kabisa kufanywa kuwa makazi ya binadamu.
Kwamba maji yote machafu yanatiririka kuelekea eneo hilo, na yanatwama hapo. Nguvu za kawaida za wakazi hao (walio masikini kupindukia) haziwezi kukabiliana na tatizo hilo.

Serikali imewatupa, serikali inajua kuna makazi katika eneo ambalo hapapaswi kuwa na makazi, lakini ni mtaa uliosajiliwa na kuna mwenyekiti wa mtaa na wabunge wanapigiwa kura na watu hao (poor wananchi!!)

Anyway.........Jambo la binafsi hapo ni je hawa wamelazimishwa kuishi hapo? ni kweli kwamba hawawezi kupata chumba sehemu safi kwa bei nzuri au ya chini inayolingana na kipato chao?
Jibu ni ndio, sasa hapo wao hawatoki.....kwasababu ni kama bata, wamezaliwa hapo akilini mwao hapo ndo home....kama watoto wa bata wanavyoona mama anahangaika na uchafu, nao wanakuwa wakiamini hiyo ndo deal yenyewe.

Maisha kama ya Bata.:angry:
 
1411544913423.jpg
 
Maeneo kama haya kwa Dar yapo mengi sana...
 
Bado zinahitajika tafiti zaidi kujua hasa watu wengine tunaelewa nini juu ya kuishi.
Ukitaka kujua zaidi kaulize kiongozi (wa kuchaguliwa) hapa ni nani ...mara nyingi utakuta magamba ndio wanatamba sehemu kama hizi!
 
mbona umepiga picha nyumbani kwetu ?
 
Back
Top Bottom