Kwa nn hashiki stretcher??

Hee Boflo analake jambo huyo wa nyuma!
 
Last edited by a moderator:
ameshaangusha suruali atashikaje stretcher? mgonjwa nae amefurahia huo mchezo
 
vihoja havitokuja kuisha duniani
 
Magonjwa mengine yanahitaji tiba mbadala kama hizi. Huyo mtaalamu wa afya anafaa sana kwa hizi shule za Single Sex ambazo wanafunzi huwa wanaanguka hovyo na wengine kutembea kama Sharobaro.
 
Daaah! Hii thread imeniongezea siku za kuishi maana nimecheka hapa kuanzia hivyo vikatuni hadi kila anaechangia amenipa burdani sana..
 
Ewaaaaaa, wanampa mazoezi ya tumbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…