Kwa nini?

angomwile

Senior Member
Sep 10, 2011
116
62
hivi kwanini napotongoza mwanamke napata shida kumfukuzia halafu nikishampata,nikilala nae nimpe hela wakati raha tunapata wote?kwanini?
 
Nahisi huku ndani wanaingia watoto wadogo. Yaani wewe uliyepost hii lazima uko below 18 teh teh teh!!!
 
hivi kwanini napotongoza mwanamke napata shida kumfukuzia halafu nikishampata,nikilala nae nimpe hela wakati raha tunapata wote?kwanini?

Kilichokufanya umtongoze na kupata shida kumfukuzia ndio kinachokufanya utoe hela, kwanini hukusubiri yeye akufukuzie....!?
 
hivi kwanini napotongoza mwanamke napata shida kumfukuzia halafu nikishampata,nikilala nae nimpe hela wakati raha tunapata wote?kwanini?

Jisevie Mwenyewe, Maana sabuni utaogea, hautopata std, utajihudumia at the right time bila ela ya zida na mwisho hizi post huwa ni za Fb tena una chat na friend wakike huwa inapendeza sana.
 
Ha ha ha,acha hzo dogo,hapa kwel umepotea njia ungechek fb pangekufaa zaidi,kwan unamiaka mingp dogo?
 
hivi kwanini napotongoza mwanamke napata shida kumfukuzia halafu nikishampata,nikilala nae nimpe hela wakati raha tunapata wote?kwanini?

We sindo ulosema unabwagwa na kila demu
Inawezekana hicho kihelehele chako ndo kinakufanya uwe hivo ulivo badilisha mfumo wa mahusiano yako.
 
Hapo sijakupata... Yaani unataka kuniambia kigezo cha kumpa pesa Mpenzi wako ni kufanya nae Sex?? (or are we talking of hookers hapa??)

Maana kama ni Mpenzi wako alafu mkifanya ndio hapo unampa hela... My God... waweza jiona cheap ile mbaya (kwa mwanamke) However Back to Topic; Mwanaume wa kweli lazima um-handle mpenzi wako kadri uwezavo (mradi usipinde mgongo mpaka ukavunjika) and you have to do it proudly kabisa labda kama humpendi... Raha mwapata woote BUT Mwanamke ana haya ya ziada yanayotokana na kua na sehemu ya uzazi ambapo Virgina ni part ya package:-

  • Anapata crumps kila mwezi kwa ajili ya hedhi.... Kuna wengine hadi kulazwa na kuzimia...
  • Ni wanawake wachache wana bahati ya kufika kila akienda safari saa ingine yupo tu kumridhisha Mpenziwe..
  • Wanawake ndio wanabeba Mimba... Na usitake ujue music tunaocheza toka mimba mpaka kuzaa..
  • Mwanamke ana say ndogo saana katika tendo lenyewe la sex... wapi.. wakati gani... namna gani... N.K
Ukitumia the above vigezo kama ni muelewa atleast you get the idea...

Hey!! Kuna tofauti ya Sex ya kulipia na sex ya kumfuatilia mtu na ukaona kua ni Mpenzi wako... Kwanza nashangaa kua tayari una uwezo wa kumtongoza mwanamke mpaka akakubali lakini huelewi kwanini... Hata
 
Pu*** kweli kweli wewe unanipotezea mda wangu kujadili ujinga huu nani alikuambia sex kabla ya ndoa ni sahihi au inaruhusiwa. Mzinzi wewe!
 
Jisevie Mwenyewe, Maana sabuni utaogea, hautopata std, utajihudumia at the right time bila ela ya zida na mwisho hizi post huwa ni za Fb tena una chat na friend wakike huwa inapendeza sana.

una maana gani hapo mkuu?
 
majibu ni haya;
1. kutongoza si kazi ngumu kama unavyodhani
2. kumpa hela ni agreement mliyokubaliana au ni vile unatembea na mwanamke ambaye anajiuza, hata asipokuomba pesa unajua lazima anahitaji pesa ya huduma yake
3. raha wote tunapata ila ndo asili/tamaduni zinamshusha mwanamke kama mtu asiyekuwa mtafutaji, ombaomba, dhaifu. pia kwa taarifa yako mwanamke ndiye anayepata raha zaidi.... X times zaidi yako.
ni hayo tu
 
Hapo sijakupata... Yaani unataka kuniambia kigezo cha kumpa pesa Mpenzi wako ni kufanya nae Sex?? (or are we talking of hookers hapa??)

Wewe huyu hazumgumzii mpenzi ila ana tudemu ambato huwa tunamfundisha mazoezi anatugea mkwanja au hujaona hiyo lugha hapo!!
 
Back
Top Bottom