Pengine mimi sielewi.
Zanzibar mbali na Sharif Hamad kuna makamu wa rais yupi tena mwingine Zanzibar?

hii wadau nimelisema mahali Kama comment.
Binafsi nahisi inaweza kuwa kwa sababu moja kuu:
Kitendo cha kuwa na makamu wawili kwa zanzibar ni very strategic kwa ccm maana kwa bahati mbaya shein akafariki, itazuia maalim kuwa rais maana ni cuf, na ukichukulia wao Wana mawaziri wengi zaidi ya cuf, ni rahisi kumweka makamu wa ccm kuwa rais. Je hili lilikua kigezo cha kuunda mseto?
Wako makamu wawili kwa kuwa katiba yao inaagiza hivyo
wakati wa Karume nani alikuwa makamu wa pili?
Malimu SEIF NI makamu wa 1 na kuna makamu wa 2 ambaye anatoka CCM ambaye anamammlaka ya kuongoza serikali akiwa na hadhi kama waziri mkuu,swali langu pia ni hili je kazi ya SIF ni nini? maana haijaelezwa kabisa inaonekana yupo kama kivuri tu..
hii wadau nimelisema mahali Kama comment.
Binafsi nahisi inaweza kuwa kwa sababu moja kuu:
Kitendo cha kuwa na makamu wawili kwa zanzibar ni very strategic kwa ccm maana kwa bahati mbaya shein akafariki, itazuia maalim kuwa rais maana ni cuf, na ukichukulia wao Wana mawaziri wengi zaidi ya cuf, ni rahisi kumweka makamu wa ccm kuwa rais. Je hili lilikua kigezo cha kuunda mseto?
Balozi Seif Ally Idd
Na ndiye mtendaji mkuu wa shughuli za serikali, na ndiye anayekaimu uraisi Shein akiwa nje ya nchi. Maalim kauvaa mkenge kwa uroho wa madaraka.
Pengine mimi sielewi.
Zanzibar mbali na Sharif Hamad kuna makamu wa rais yupi tena mwingine Zanzibar?
Itakuwa busara kuisoma hiyo katiba yao na kujua endapo wakiwa nje ya nchi rais (Shein) na makamu wa ukweli (Seif Idd) nani atafuatia hapo? Maana hata katika serikali ya muungano inapotokea rais na makamu wote wakawa nje kwa wakati mmoja basi ujiko unakuwa wa spika.
Malimu SEIF NI makamu wa 1 na kuna makamu wa 2 ambaye anatoka CCM ambaye anamammlaka ya kuongoza serikali akiwa na hadhi kama waziri mkuu,swali langu pia ni hili je kazi ya SIF ni nini? maana haijaelezwa kabisa inaonekana yupo kama kivuri tu..
Kwenye Jamhuri ya Muungano wa Tanzania... ni
Rais --->makamu wa Rais ---> Waziri Mkuu--->Speaker---->Jaji Mkuu--->wote wakiwa hawapo hakuna serikali.