Kwa nini zenj ina makamu wawili wa rais?

Madago

Senior Member
Feb 7, 2009
117
9
hii wadau nimelisema mahali Kama comment.
Binafsi nahisi inaweza kuwa kwa sababu moja kuu:
Kitendo cha kuwa na makamu wawili kwa zanzibar ni very strategic kwa ccm maana kwa bahati mbaya shein akafariki, itazuia maalim kuwa rais maana ni cuf, na ukichukulia wao Wana mawaziri wengi zaidi ya cuf, ni rahisi kumweka makamu wa ccm kuwa rais. Je hili lilikua kigezo cha kuunda mseto?
 
Pengine mimi sielewi.
Zanzibar mbali na Sharif Hamad kuna makamu wa rais yupi tena mwingine Zanzibar?
 
Malimu SEIF NI makamu wa 1 na kuna makamu wa 2 ambaye anatoka CCM ambaye anamammlaka ya kuongoza serikali akiwa na hadhi kama waziri mkuu,swali langu pia ni hili je kazi ya SIF ni nini? maana haijaelezwa kabisa inaonekana yupo kama kivuri tu..

Ngaja afe Shein tuone nani ataongoza serikali.
 
Malimu SEIF NI makamu wa 1 na kuna makamu wa 2 ambaye anatoka CCM ambaye anamammlaka ya kuongoza serikali akiwa na hadhi kama waziri mkuu,swali langu pia ni hili je kazi ya SIF ni nini? maana haijaelezwa kabisa inaonekana yupo kama kivuri tu..

Sasa nimeelewa.
 
Hizo ni gharama za maridhiano. Mmoja kati ya hao anakuwa yupo yupo tu ili mradi ametulizwa nafsi :smile:
 
hii wadau nimelisema mahali Kama comment.
Binafsi nahisi inaweza kuwa kwa sababu moja kuu:
Kitendo cha kuwa na makamu wawili kwa zanzibar ni very strategic kwa ccm maana kwa bahati mbaya shein akafariki, itazuia maalim kuwa rais maana ni cuf, na ukichukulia wao Wana mawaziri wengi zaidi ya cuf, ni rahisi kumweka makamu wa ccm kuwa rais. Je hili lilikua kigezo cha kuunda mseto?

Wakuu kwani katiba yao inasemaje iwapo ikitokea rais amekufa (hatumuombei yeyote mabaya). Mimi nilidhani makamu wa kwanza wa rais ndio atakuwa rais.

Halafu hii maana yake ni kwamba mtu mzima anakuwa rais na kuanza ku-implement za sera za watani wa jadi :bowl:
 
Huyo makamu 2 wa Rais, kazi yake ni kumuangalia Seif anafanya nini. Basically, kazi yake kubwa itakuwa kumchunguza Seif, ili CCM wajue hawa CUF wana agenda gani. Makamu wa 2 Rais, atakuwa anafanya kazi pamoja na Seif.
Seif kaingizwa mkenge na hawa CCM.
 
Na ndiye mtendaji mkuu wa shughuli za serikali, na ndiye anayekaimu uraisi Shein akiwa nje ya nchi. Maalim kauvaa mkenge kwa uroho wa madaraka.

Itakuwa busara kuisoma hiyo katiba yao na kujua endapo wakiwa nje ya nchi rais (Shein) na makamu wa ukweli (Seif Idd) nani atafuatia hapo? Maana hata katika serikali ya muungano inapotokea rais na makamu wote wakawa nje kwa wakati mmoja basi ujiko unakuwa wa spika.
 
Pengine mimi sielewi.
Zanzibar mbali na Sharif Hamad kuna makamu wa rais yupi tena mwingine Zanzibar?

Tuulize sisi wa Bububu.... Makamu wa pili wa Rais ni Balozi Seif Idd aliyekuwa naibu waziri wa mambo ya nje wa Jamhuri ya Muungano ya Watu Tanzania.
 
Itakuwa busara kuisoma hiyo katiba yao na kujua endapo wakiwa nje ya nchi rais (Shein) na makamu wa ukweli (Seif Idd) nani atafuatia hapo? Maana hata katika serikali ya muungano inapotokea rais na makamu wote wakawa nje kwa wakati mmoja basi ujiko unakuwa wa spika.

Kwenye Jamhuri ya Muungano wa Tanzania... ni

Rais --->makamu wa Rais ---> Waziri Mkuu--->Speaker---->Jaji Mkuu--->wote wakiwa hawapo hakuna serikali.
 
Malimu SEIF NI makamu wa 1 na kuna makamu wa 2 ambaye anatoka CCM ambaye anamammlaka ya kuongoza serikali akiwa na hadhi kama waziri mkuu,swali langu pia ni hili je kazi ya SIF ni nini? maana haijaelezwa kabisa inaonekana yupo kama kivuri tu..

Swali lako linajibiwa na serikali ya URT, tunajua kuwa waziri mkuu ambaye ndiyo kiongozi wa serikali bungeni, Je kazi ya makamu wa rais Dr Ghalib Bilal ni nini?, Au Dr Shein prior uchaguzi kazi yake ilikuwa ni nini? au ni kivuli tu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom