Kwa nini watu wengi sio waaminifu?

Kwa nini watu wengi sio waaminifu?

Masikini ndio kawaida yao.

Ingekuwa amri yangu, hakika masikini wangeuawa na kutupwa mto kagera wakaliwe na mamba.

Masikini ni kama nyani ukicheka naye unavuna mabua.
Kujiweka kaaribu na masikini ni kujichimbia kaburi lako.

Masikini wote sio waaminifu na ndio maana hawafanikiwi.

Ukiona mtu ni masikini basi jua sio mwaminifu na ndio maana vitabu vinakuambia ukimsaidia masikini usisubiri kulipwa kwa maana utajiumiza moyo kwa kuona anakudanganya. Andiko hilo halimaanishi ukimsaidi mtu hapaswi kurudisha fadhila, ni lazima urudishe fadhila kwa aiyekusaidia lakini kwa masikini kwa sababu wengi ni majizi, matapeli watakuambia kutoa ni moyo, kisha yatamalizia ukitoa usisubiri kurudishiwa.

Wingi wa watu kutokuwa waaminifu unatokana na wingi wa uwepo masikini
Jamii zote zenye masikini wengi ndizo zinaongoza kwa kutokuwa waaminifu
Jamii tajiri zinaongoza kwa uaminifu
Halafu Mungu angekua anatujaji hivyo kama wewe sijui dunia ingeishi kiumbe gani, njia za mwanadamu sio kama za Mungu
 
Na masikini washukuru sana mimi sio Mungu, wala wasingekuwepo, kama wangekuwepo wangekuwa ni mbuzi au kondoo
 
Uwaminifu hutoweka pale unapoweka maslahi yako binafsi, hata matajiri pia sio waaminifu wewe umepotoka kulichukua kundi hilo na kuliwekea dosari, matajiri wanakosa uwaminifu mpaka wanaua

Kuua ni kawaida kama utamuua mtu asiyemuaminifu.
Masikini hawasogei kwenye mali zangu maana wanajua kitakachowatokea
 
Ni jambo la ajabu na linatia hasira sana.

Unapita sokoni unamwambia muuzaji niwekee nyanya au machungwa nk, usipoangalia unafika home nyingi zimeharibika kabuvisha.

Mama ntilie anakuuzia maziwa ukitia mdomoni ni maji tu hamna kitu. Kwanini asiwe bei kubwa ila maziwa ya kueleweka?

Fundi magari, kwa mfano unapeleka gari kwa fundi, tatizo ni break, anagundua labda fuse ya magneto ndio imeungua ila atafungua valve yote na huenda akakupiga bei ya valve mpya kabisa.

Fundi ujenzi anasema mifuko ya siment 20 then anatumia 10 au 15 mitano yake, nondo bati ndio usiseme, unaweza wekewa nondo mbili wakati hesabu ni nondo nne au tatu.

Hii sio kwa kampuni wala watu binafsi, wengi wao ni shida tupu.

Kwanini hivi? Binafsi ni bora uniuzie kitu bei kubwa ila usinifanyie magumashi huwa nakuwa na hasira sana. Kuna muda hadi natamani niwe na gun [emoji379]
Hata wewe sio mwaminifu
 
Jokajeusi we ni jini banah uwa tu

Masikini hujawajua tuu Mkuu,

Masikini ndio majini yanatakiwa yauawe illi dunia ibaki salama,

Nenda uswahilini huko ukaone majini yakiishi kishetani, uchafu wao, ulozi wao, umbeya wao, unafiki wao, yaani masikini mumshukuru Mungu kwa maana huyu Mungu kawa-save sana. Ingekuwa Mungu ndiye mimi ningewafyeka wote
 
You're missing the whole point brother, na umeshahama kwenye mada. We're talking about selfishness, greed and corruption in Tz, hizi figisu ni chache sana kwa nchi zilizoendelea. Eg. Mrusi hamfanyii figisu Mrusi mwenzake, atapambana na nchi nyingine kiuchumi ili akue ila hatamwibia raia mwenzake wa Urusi kama tunavyofanya sisi. Am outta here
Bado ni yaleyale. No significant difference hata
 
Masikini ndio kawaida yao.

Ingekuwa amri yangu, hakika masikini wangeuawa na kutupwa mto kagera wakaliwe na mamba.

Masikini ni kama nyani ukicheka naye unavuna mabua.
Kujiweka kaaribu na masikini ni kujichimbia kaburi lako.

Masikini wote sio waaminifu na ndio maana hawafanikiwi.

Ukiona mtu ni masikini basi jua sio mwaminifu na ndio maana vitabu vinakuambia ukimsaidia masikini usisubiri kulipwa kwa maana utajiumiza moyo kwa kuona anakudanganya. Andiko hilo halimaanishi ukimsaidi mtu hapaswi kurudisha fadhila, ni lazima urudishe fadhila kwa aiyekusaidia lakini kwa masikini kwa sababu wengi ni majizi, matapeli watakuambia kutoa ni moyo, kisha yatamalizia ukitoa usisubiri kurudishiwa.

Wingi wa watu kutokuwa waaminifu unatokana na wingi wa uwepo masikini
Jamii zote zenye masikini wengi ndizo zinaongoza kwa kutokuwa waaminifu
Jamii tajiri zinaongoza kwa uaminifu
Yaani uwamaskinishe halafu uanze kuwazodoa kiasi hiki!??? Shame on you!
 
Masikini hujawajua tuu Mkuu,

Masikini ndio majini yanatakiwa yauawe illi dunia ibaki salama,

Nenda uswahilini huko ukaone majini yakiishi kishetani, uchafu wao, ulozi wao, umbeya wao, unafiki wao, yaani masikini mumshukuru Mungu kwa maana huyu Mungu kawa-save sana. Ingekuwa Mungu ndiye mimi ningewafyeka wote
Duh! Punguza ukali wa maneno basi
 
Dunia ina mengi na huwa kuna mambo yanajirudia nafsini mwetu...."watu wanatafuta watu waaminifu lakini cha kushangaza wao wenyewe hawajaamua kuwa waaminifu sasa je uaminifu tutaupataje kwenye jamii"
Komenti Bora ya kufungia mwaka
 
Masikini ndio kawaida yao.

Ingekuwa amri yangu, hakika masikini wangeuawa na kutupwa mto kagera wakaliwe na mamba.

Masikini ni kama nyani ukicheka naye unavuna mabua.
Kujiweka kaaribu na masikini ni kujichimbia kaburi lako.

Masikini wote sio waaminifu na ndio maana hawafanikiwi.

Ukiona mtu ni masikini basi jua sio mwaminifu na ndio maana vitabu vinakuambia ukimsaidia masikini usisubiri kulipwa kwa maana utajiumiza moyo kwa kuona anakudanganya. Andiko hilo halimaanishi ukimsaidi mtu hapaswi kurudisha fadhila, ni lazima urudishe fadhila kwa aiyekusaidia lakini kwa masikini kwa sababu wengi ni majizi, matapeli watakuambia kutoa ni moyo, kisha yatamalizia ukitoa usisubiri kurudishiwa.

Wingi wa watu kutokuwa waaminifu unatokana na wingi wa uwepo masikini
Jamii zote zenye masikini wengi ndizo zinaongoza kwa kutokuwa waaminifu
Jamii tajiri zinaongoza kwa uaminifu
Kunauhusiano kati yakutokua mwaminifu ja uwezo wa akili?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom