Kwa nini watu wengi sio waaminifu?

Kwa nini watu wengi sio waaminifu?

Ni jambo la ajabu na linatia hasira sana.

Unapita sokoni unamwambia muuzaji niwekee nyanya au machungwa nk, usipoangalia unafika home nyingi zimeharibika kabuvisha.

Mama ntilie anakuuzia maziwa ukitia mdomoni ni maji tu hamna kitu. Kwanini asiwe bei kubwa ila maziwa ya kueleweka?

Fundi magari, kwa mfano unapeleka gari kwa fundi, tatizo ni break, anagundua labda fuse ya magneto ndio imeungua ila atafungua valve yote na huenda akakupiga bei ya valve mpya kabisa.

Fundi ujenzi anasema mifuko ya siment 20 then anatumia 10 au 15 mitano yake, nondo bati ndio usiseme, unaweza wekewa nondo mbili wakati hesabu ni nondo nne au tatu.

Hii sio kwa kampuni wala watu binafsi, wengi wao ni shida tupu.

Kwanini hivi? Binafsi ni bora uniuzie kitu bei kubwa ila usinifanyie magumashi huwa nakuwa na hasira sana. Kuna muda hadi natamani niwe na gun [emoji379]
Mimi kuna siku nilitamani niwe na uwezo wa kuingia ndani ya mtu nimrarue vipande vipande maana uhuni umezidi halafu ukiangalia ni mtu ambae wakati mwingine anakueleza shida yake unamsaidia.
 
Ni jambo la ajabu na linatia hasira sana.

Unapita sokoni unamwambia muuzaji niwekee nyanya au machungwa nk, usipoangalia unafika home nyingi zimeharibika kabuvisha.

Mama ntilie anakuuzia maziwa ukitia mdomoni ni maji tu hamna kitu. Kwanini asiwe bei kubwa ila maziwa ya kueleweka?

Fundi magari, kwa mfano unapeleka gari kwa fundi, tatizo ni break, anagundua labda fuse ya magneto ndio imeungua ila atafungua valve yote na huenda akakupiga bei ya valve mpya kabisa.

Fundi ujenzi anasema mifuko ya siment 20 then anatumia 10 au 15 mitano yake, nondo bati ndio usiseme, unaweza wekewa nondo mbili wakati hesabu ni nondo nne au tatu.

Hii sio kwa kampuni wala watu binafsi, wengi wao ni shida tupu.

Kwanini hivi? Binafsi ni bora uniuzie kitu bei kubwa ila usinifanyie magumashi huwa nakuwa na hasira sana. Kuna muda hadi natamani niwe na gun [emoji379]
Mafundi ujenzi ukiona anakuibia sana basi ujue umepatania pesa ndogo kwenye hiyo kazi, so kwa hilo ni lazima ajifidie kwenye material na atakupiga tu bila aibu,
 
Wasipo weka na cha juu watakula wapi? Ukitaka usiibiwe basi patania bei ya kazi halafu material mkanunue wote
 
Ifike mahala tukubaliane hakuna aliekua mwaminifu [emoji817] [emoji817] [emoji817], kila mmoja ni mwizi, muongo,tapeli katika eneo lake la kazi au pia hado kwenye mahusiano swala ni tunazidiana viwango vya uaminifu wengine ni kila jambo sio mwaminifu, yote haya ni tamaa mbele na ubinafsi umejaa mioyoni. Mbadilike muwe watiifu na hofu mbele za Mungu japo itapunguza hiyo hali.
 
Ni malezi mabovu,kama umezaliwa na mazazi madhurumaji na yasiyojari vtu vya watu lazma na litoto litakuwa hvyo.
 
Ni mwendo wa "kupigana" tu kila mtu anapopata nafasi. Ki msingi jamii yote imeharibika, yawezekana hata huyo mleta mada ni mpigaji mzuri katika anga zake. Mwizi aibe yeye lakini asiibiwe yeye, mkuki kwa nguruwe.

Tumuulize kama akiokota sh 50,000/= njiani ataipeleka wapi? Nataka naye tumpime uaminifu wake.

"Mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake".

Ni ✊🏻 tena.
Inategemea na mazingira, kama aloangusha umemuona au unamjua kabisa ni vema umrudishie, kama humjui na ni mazingira ambao ni ngumu let say kwenye busy road then ni uamuz wako, kuchukua yote au kiasi utoe sadaaka
 
Ni malezi mabovu,kama umezaliwa na mazazi madhurumaji na yasiyojari vtu vya watu lazma na litoto litakuwa hvyo.
Hakuna mzazi anaefundisha mtoto wake awe mwizi au mdhurumaji tabia hizi wanazipata mashuleni,mtaani yani kwenye makundi fulanifulani yenye vitabia hovu hivyo, kwa ufupi kwenye jamii inayotuzunguka,
 
Mkuu kwa Tz utaumiza wengi wasio na hatia.
Wewe angalia hizi kesi dhidi ya wapinzani.
Angalia bomoa bomoa ya Mbezi Kibamba, wangapi hawakuwemo? Ingekua kunyongwa?
Siasa tena!??? Unazungumzia hawa wapinzani waliokuwa tayari kuitifua nchi yetu nzuri kwa mafuta & kiberiti. Shame on all such unpatriotic politicians!!!
 
Hii ni tabia yetu waafrica na inaturudisha nyuma sana. Tumelelewa hivyo na tunawarithisha wototo wetu
Siyo tabia ya Afrika tu, bali kila mwanadamu mbinafsi asiyekuwa na hofu ya Mungu. Kwani hujaona hao jamaa wenye ngozi white wakituletea bunduki tujiue ilhali wanajisombea rasilimali zetu tele!??? Nature ya ufikiriaji wako ni kama gari lisilo injini. Bure kabisa! Ama vipi, hamia huko kabisa tujue moja!
 
kwa sababu hata kwenye sanduku la kupiga kura hamna uaminifuu
 
Siyo tabia ya Afrika tu, bali kila mwanadamu mbinafsi asiyekuwa na hofu ya Mungu. Kwani hujaona hao jamaa wenye ngozi white wakituletea bunduki ilhali wanajisombea rasilimali zetu tele!??? Nature ya ufikiriaji wako ni kama gari ambayo haina injini. Bure kabisa! Ama vipi, hamia huko kabisa tujue moja!

Usipanick. Hofu ya Mungu inachangia lakini sio ishu sana. Nchi zilizostaarabika hususan za kizungu tunawazidi sana kuabudu ila hawafanyiani hayo mambo wao kwa wao, labda tu watakuja kutunyonya waafrica, na wanafanikiwa kutunyonya kwa sababu ya hizihizi tabia zetu, wanaziexploit wanachukua mali zetu.
 
Mafundi ujenzi ukiona anakuibia sana basi ujue umepatania pesa ndogo kwenye hiyo kazi, so kwa hilo ni lazima ajifidie kwenye material na atakupiga tu bila aibu,
Suala siyo pesa ndogo wala kubwa, ila moyo uliovunda tamaa. Kumbe wale wakwasi wakubwa wanaokwapua billions ilhali mifuko yao imetuna even before huwa wamepungukiwa nini kimfano!???
 
Inategemea na mazingira, kama aloangusha umemuona au unamjua kabisa ni vema umrudishie, kama humjui na ni mazingira ambao ni ngumu let say kwenye busy road then ni uamuz wako, kuchukua yote au kiasi utoe sadaaka

Obviously, hiyo ela uliyookota siyo yako, inayo mwenyewe aliyeiangusha, nimeona kidogo wewe ni muaminifu pale uliposema kwamba utaitoa kama sadaka, kifupi ni kwamba ela yote inatakiwa itolewe kama sadaka na wewe utalipwa na Mungu kwa njia nyingine.
 
Wasipo weka na cha juu watakula wapi? Ukitaka usiibiwe basi patania bei ya kazi halafu material mkanunue wote
Hata bei ingekuwa mara elfu yake, kama moyo una defective signals za wizi, lazima aibe tuuuu. Ndiyo maradhi ya kisukari hayaponywi kwa kumwongezea mgonjwa dozi ya sukari.
 
Obviously, hiyo ela uliyookota siyo yako, inayo mwenyewe aliyeiangusha, nimeona kidogo wewe ni muaminifu pale uliposema kwamba utaitoa kama sadaka, kifupi ni kwamba ela yote inatakiwa itolewe kama sadaka na wewe utalipwa na Mungu kwa njia nyingine.
Kwani sadaka anapokea mungu?!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom