Kwa nini watu wengi sio waaminifu?

Kwa nini watu wengi sio waaminifu?

Ifike mahala tukubaliane hakuna aliekua mwaminifu [emoji817] [emoji817] [emoji817], kila mmoja ni mwizi, muongo,tapeli katika eneo lake la kazi au pia hado kwenye mahusiano swala ni tunazidiana viwango vya uaminifu wengine ni kila jambo sio mwaminifu, yote haya ni tamaa mbele na ubinafsi umejaa mioyoni. Mbadilike muwe watiifu na hofu mbele za Mungu japo itapunguza hiyo hali.
Nakubaliana na wewe almost 100% Hiyo almost inareflect pale ambapo mwishoni umeandika ^mbadilike^ badala ya kutumia nafasi ya kwanza wingi. Inaonekana wewe umefanya sana EXCLUSIVE INTERVIEWS ama probability za mutual exclusive events, since unaonekana u mbobezi wa kujitoa na kujisafisha ilhali wengine ukiwaacha Salender (solemba??)
 
Ni malezi mabovu,kama umezaliwa na mazazi madhurumaji na yasiyojari vtu vya watu lazma na litoto litakuwa hvyo.
Na kuna wengine kama wewe waliolelewa vizuri kabisa utotoni, na wangeendelea hivyo wangekuwa Mashekh & Maaskofu wa kutegemewa kumjamii, ila chacha, somehow, somewhere, wameharibikia ukubwani.
 
Inategemea na mazingira, kama aloangusha umemuona au unamjua kabisa ni vema umrudishie, kama humjui na ni mazingira ambao ni ngumu let say kwenye busy road then ni uamuz wako, kuchukua yote au kiasi utoe sadaaka
Umeokota peleka kituoni aiseee andikisha kabisa
 
Usipanick. Hofu ya Mungu inachangia lakini sio ishu sana. Nchi zilizostaarabika hususan za kizungu tunawazidi sana kuabudu ila hawafanyiani hayo mambo wao kwa wao, labda tu watakuja kutunyonya waafrica, na wanafanikiwa kutunyonya kwa sababu ya hizihizi tabia zetu, wanaziexploit wanachukua mali zetu.
Na wasiwasi utakuwa totally humjui Mr Mzungu. Mtu anakutengenezea virusi ili akutawale na aongoze kiuchumi, naye unamhesabu kuwa miongoni mwa wanadumu!??? Na wasiwasi sana na your mental chakating process.
 
Hakuna mzazi anaefundisha mtoto wake awe mwizi au mdhurumaji tabia hizi wanazipata mashuleni,mtaani yani kwenye makundi fulanifulani yenye vitabia hovu hivyo, kwa ufupi kwenye jamii inayotuzunguka,
Usitetee,yawezakuwa hujawah kuishi huku mitaan kwetu,Kuna familia ikiazima kitu,wakmaliza kutumia wanaktupa popote tena hawarudish,mpaka ukawaombe na unaweza kuta kimeshaharibika,Mtoto wa kwenye familia kama hii kamwe hawez kuwa na ustarabu kwenye vtu vya watu
 
Na wasiwasi utakuwa totally humjui Mr Mzungu. Mtu anakutengenezea virusi ili akutawale na aongoze kiuchumi, naye unamhesabu kuwa miongoni mwa wanadumu!??? Na wasiwasi sana na your mental chakating process.

You're missing the whole point brother, na umeshahama kwenye mada. We're talking about selfishness, greed and corruption in Tz, hizi figisu ni chache sana kwa nchi zilizoendelea. Eg. Mrusi hamfanyii figisu Mrusi mwenzake, atapambana na nchi nyingine kiuchumi ili akue ila hatamwibia raia mwenzake wa Urusi kama tunavyofanya sisi. Am outta here
 
Hata bei ingekuwa mara elfu yake, kama moyo una defective signals za wizi, lazima aibe tuuuu. Ndiyo maradhi ya kisukari hayaponywi kwa kumwongezea mgonjwa dozi ya sukari.
Nakukumbusha namna kuepuka au kupunguza kupigwa na wapigaji.. Hayo mengine achana nayo
 
Nakubaliana na wewe almost 100% Hiyo almost inareflect pale ambapo mwishoni umeandika ^mbadilike^ badala ya kutumia nafasi ya kwanza wingi. Inaonekana wewe umefanya sana EXCLUSIVE INTERVIEWS ama probability za mutual exclusive events, since unaonekana u mbobezi wa kujitoa na kujisafisha ilhali wengine ukiwaacha Salender (solemba??)
Mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] basi nimekuelewa, nitaweka mjumuisho ili kuleta maana
 
Masikini ndio kawaida yao.

Ingekuwa amri yangu, hakika masikini wangeuawa na kutupwa mto kagera wakaliwe na mamba.

Masikini ni kama nyani ukicheka naye unavuna mabua.
Kujiweka kaaribu na masikini ni kujichimbia kaburi lako.

Masikini wote sio waaminifu na ndio maana hawafanikiwi.

Ukiona mtu ni masikini basi jua sio mwaminifu na ndio maana vitabu vinakuambia ukimsaidia masikini usisubiri kulipwa kwa maana utajiumiza moyo kwa kuona anakudanganya. Andiko hilo halimaanishi ukimsaidi mtu hapaswi kurudisha fadhila, ni lazima urudishe fadhila kwa aiyekusaidia lakini kwa masikini kwa sababu wengi ni majizi, matapeli watakuambia kutoa ni moyo, kisha yatamalizia ukitoa usisubiri kurudishiwa.

Wingi wa watu kutokuwa waaminifu unatokana na wingi wa uwepo masikini
Jamii zote zenye masikini wengi ndizo zinaongoza kwa kutokuwa waaminifu
Jamii tajiri zinaongoza kwa uaminifu
 
Uwaminifu hutoweka pale unapoweka maslahi yako binafsi, hata matajiri pia sio waaminifu wewe umepotoka kulichukua kundi hilo na kuliwekea dosari, matajiri wanakosa uwaminifu mpaka wanaua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom