Kwa nini wateule wanashindwa kusema ukweli?

NgugiAchebe

JF-Expert Member
Jul 11, 2016
1,024
688
Nimefanya uchunguzi wangu wa mapungufu ya chakula nchini mikoa mitano niliotembelea inakabilia na upungufu mkubwa sana wa chakula
Nilichogundua ni wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wanaogopa kusema au kutangazA kwenye mikoa yao kunamapungufu ya chakula au kusema kuna njaa, kwa kuogopa kutumbulia au kuletea ile barua yenye nembo ya ikulu
Ikia na inasema kutengulia mku......... Flani
 
Wacha wakae kimya.. mwenyewe ameshasema serikali yake haina shamba....
 
Mkuu wa wilaya ya Misungwi,Mwanza Leo katangaza njaa TBC taarifa ya habari leo
 
1483815857247.jpg
 
Kuna mmoja kule wanakobadilishana mbuzi mmoja na debe LA maindi. Na ukiwa na cash ni 20000/= kwa debe. Alichosema ni kuwa wilaya yake haina njaa ila wamekosa maindi ya bei nafuu. Akili kumkichwa
 
Hao hawana tofauti na wale wanaoitikia ubetii bungeni. Ndiooooo. Naunga mkono hoja ila mh spika jimboni mwangu hakuna maji wala barabara
 
Back
Top Bottom