Kwa nini Watanzania hatuwapendi polisi?

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,832
Jamani leo nimejionea mwenyewe kwa macho yangu polisi kapigwa na tofali, akadondoka chini, raia wakawa wanashabikia na wala wahakumsaidia polisi kuinuka wala kumkamata aliye mpiga. Nimeshangaa sana
 
Uswahilini kwetu polisi hawatii mguu, wakija lazima tuwabviuhgumishe kwa mawe. Maana wakikuipeleka umwelani una kesi ya kupigana wanakutwisha na nyingine ya kumchoma kisu mwenzao, dawa yake undava undava
 
we unawaonaje hao manjagu?
 
nawachukia polisi wa usalama barabarani! yaani wamekuwa kama ombaomba fulani vile,
cjui wenda wazimu wale?
 
Jamani leo nimejionea mwenyewe kwa macho yangu polisi kapigwa na tofali, akadondoka chini, raia wakawa wanashabikia na wala wahakumsaidia polisi kuinuka wala kumkamata aliye mpiga. Nimeshangaa sana

Nazjaz, kumbe wewe c raia eti?. nway tunashukuru walau umechukua hatua ya kutujuza
 
Ila ukipata tatizo polisi utajuta kama haumjui askari hata mmoja pale kituoni ndio utajua jeuri yake..nina marafiki zangu kadhaa ni maaskari nawa value sana coz huwezi jua kesho,sipendi chuki kati ya polisi na raia hata kidogo,
 
sasa mnamchukia nan yule alieivaa serikal ili uish inavyotaka au mnamchukia mtu anae simamia yan ninamaana ya kwamba unachukia zile nguo au mtu mwenyewe? Na kama ni hvyo yapaswa hata hakimu nae achukiwe? Mm sion sababu ya kuwachukia hawa japo ninajua askar anaeongoza kwa kuchukiwa ni TRAFIC japo sion sababu ya yeye kuchukiwa mana anasimamia ukwel upo wap
 
Hakuna asiyewapenda wana usalama isipokuwa wananch wanawaogopa polisi na sio kuwachukia,sababu ni nyingi sana,kwa uchache tu ni kwamba polisi wamekuwa wababe wanajiona wao ndio wenye nchi hasa wanapoingilia mikusanyiko halali kama maandamano na kadhalika.Wanapo amrishwa kufanya jambo fulani huonekana kutotumia busara zaidi ni nguvu kupita kiasi ,hii hupelekea kuogopwa sana na wananchi hata katika mazingira ya kawaida,wanaonekana watu wasio jiendesha wenyewe,wanaweza kukugeuka wakati wowote wanapopewa amri na wakubwa wao.Mnaweza kuwa katika maongezi lakini ghafla anaweza kukugeuka anapopewa amri ya kufanya lolote.
 
tatizo wanafanya mambo kama roborts hawashirikishi akili ni mabavu tu,thats why watu hawawapendiiii,especially vyuo vikuu
 
polisi wamekuwa hawafanyi kazi kwa maadili ya kazai yao, wamekuwa wakinyanyasa raia huku wakiipa kipaumbeke rushwa. Wanajiona ka miungu fulani kwamba wakitaka chochote toka kwa raia wanapata, wanaendekeza ubabe kupindukia thats why wanachukiwa na idadi kubwa ya raia
 
we unawaonaje hao manjagu?

kwangu wachumba tu, tukio likipigwa Nonde hawaji askari, wanajua wananchi watawatenda mbaya. Kwa hiyo kama ni rb watakuvizia umeenda town au Mwanjelwa ndio wakukamate.
Kuanzia Machinjioni hadi Salalani, kote hadi kwa Mwasimba umoja na ushirikiano wetu dhidi ya polisi uko imara kwelikweli
 
1. Wanamfumo uliopitwa na wakati wa utendaji kazi
2. Rushwa wameweka mbele kiasi wanashindwa kusimamia haki na kutenda kazi zao
3. Waoga, hawana ujasili
4. Si msaada sana kwa raia ukiwapigia simu kama kunatukio la kutisha hawaji katika muda muafaka wanasubiri tukio liishe ndio waje
5.Wanapenda kufuatilia kesi zenye mazingira ya rushwa .
6.
7.
 
Sio raia wasiowapenda askari. ila askari hawawapendi raia hivyo raia wanawaogopa polisi badala ya kuwa sahemu ya jamii. Polisi wanatakiwa kujenga PR nzuri na raia ili wawe kitu kimoja dhidi ya wahalifu. Kumbuka polisi wa kwetu akikukamata hata bila kuhakikisha kama una kosa anakubomoa kwanza. matokeo yake raia wakimuona badala ya kufurahi kwamba wako na mwanausalama wanaogopa kitatokea nini. Mpe pole askari huyo
 
polisi ni kweli hawapendwi kwa sababu wana mifadhaiko mingi akilini hivyo bila kujua wanabwaga machungu yao kwa watuhumiwa na wahalifu
 
1. Wanamfumo uliopitwa na wakati wa utendaji kazi
2. Rushwa wameweka mbele kiasi wanashindwa kusimamia haki na kutenda kazi zao
3. Waoga, hawana ujasili
4. Si msaada sana kwa raia ukiwapigia simu kama kunatukio la kutisha hawaji katika muda muafaka wanasubiri tukio liishe ndio waje
5.Wanapenda kufuatilia kesi zenye mazingira ya rushwa .
6.

7.
niliwahi kusema shule wanayopata ndogo...hebu soma hapa https://www.jamiiforums.com/habari-...afunzo-ccp-mhhh.html?highlight=kozi+ya+polisi
 
Polisi ni walinda usalama na amani lazima tuwaheshimu lasivyo inchi yetu itakuwa fujo fujo tu.
 
Polisi ni walinda usalama na amani lazima tuwaheshimu lasivyo inchi yetu itakuwa fujo fujo tu.
uwaaheshimu hata kama wao hawajiheshimu? kama ni vibaka na mateja walishawashinda na hilo wananchi wanaweza kuwashikisha adabu,je mengineyo pia tuwasaidie?
 
Back
Top Bottom