The Great Architec
Member
- Aug 19, 2012
- 86
- 17
Habari wanajamii naombeni msaada wenu katika hili je ni kwanini watahiniwa wa kujitegemea(private candidate) wanafeli sana au kuna upendeleo katika kusahisha na je maksi zao zinatofautiana vp na school candidate yaani katika watu 100 afaulu 1 sio kwamba walikuwa hawasomi