Mbavu mbili
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 1,457
- 874
ankara.........jombaaa
no luv now dayz
no luv now dayz
Nakubaliana na wewe. Mimi niliwahi kuwa na uhusiano wa namna hii, Binti kila wakati akipiga simu ni shida tu, mara gari inahitaji service na sina hela, ukiwa safari utamsikia "nna shida ya 50,000/= naomba unitumie kwa M-PESA", ukikutana naye yaani analia shida weeee, mpaka hamu ya kujifunika naye kwenye Shuka inapotea, inabidi uzushe dharura ili uachane naye kwa kuchoshwa na maelezo ya Shida. Ukiset naye appoitment atakutajia kiwanja cha bei ghali na atatumia vitu vya bei ghali kweli, halafu baadaye anakwambia nna shida ya 100,000/= naomba unisaidie, Akikaa siku mbili, naomba unitumie vocha, mama kanipigia ameniambia anaumwa na hatukumaliza mazungumzo. Duuhhh, taratibu mtoto wa watu nikasepa.Sababu zote ni za ziada. Main one ni ATM
Tamaaaa ya hela ndo kikubwa zaidi
Nakubaliana na wewe. Mimi niliwahi kuwa na uhusiano wa namna hii, Binti kila wakati akipiga simu ni shida tu, mara gari inahitaji service na sina hela, ukiwa safari utamsikia "nna shida ya 50,000/= naomba unitumie kwa M-PESA", ukikutana naye yaani analia shida weeee, mpaka hamu ya kujifunika naye kwenye Shuka inapotea, inabidi uzushe dharura ili uachane naye kwa kuchoshwa na maelezo ya Shida. Ukiset naye appoitment atakutajia kiwanja cha bei ghali na atatumia vitu vya bei ghali kweli, halafu baadaye anakwambia nna shida ya 100,000/= naomba unisaidie, Akikaa siku mbili, naomba unitumie vocha, mama kanipigia ameniambia anaumwa na hatukumaliza mazungumzo. Duuhhh,
taratibu mtoto wa watu nikasepa.
mimi nimeoa lakini nalizika na girlfriend wangu ambae nae ameolewa. Tunapeana tunacho miss ktk ndoa zetu. Na cha kuiba ni kizuri sikuambie mtu....More than true, though I am ver against dating mume wa mtu ukiwa na mkaka wa single, mauongo mengi sana, unampa mapenzi na kumjali free of charge lakini bado anakutesa roho, cheating, dharau, mapoozi, mume mtu heshima inakuwepo coz hataki kuharibu home, pia unajua ww mwizi so roho haiumi, kitu chako mwenyewe ukumkuta na mwingine roho inataka kutoka. Mara nyingi ni mtindo wa nipe nikupe period!
Mie mbona nilichoka kuwa na hao, yaani wanakufanya wewe kama baba mzazi, lakini sasa weeSijui wanapata wapi guts za kuwa ombaomba hivyo ingawa wengine wana kazi nzuri tu na mshahara mzuri!
Sababu zote ni za ziada. Main one ni ATM
hawanipati kamwe.................my wife ndo kila kituuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.
vibaya hvyo. Hebu malizeni mambo yenu ndio muingie kwenye ndoa.mimi nimeoa lakini nalizika na girlfriend wangu ambae nae ameolewa. Tunapeana tunacho miss ktk ndoa zetu. Na cha kuiba ni kizuri sikuambie mtu....
mimi nimeoa lakini nalizika na girlfriend wangu ambae nae ameolewa. Tunapeana tunacho miss ktk ndoa zetu. Na cha kuiba ni kizuri sikuambie mtu....
More than true, though I am ver against dating mume wa mtu ukiwa na mkaka wa single, mauongo mengi sana, unampa mapenzi na kumjali free of charge lakini bado anakutesa roho, cheating, dharau, mapoozi, mume mtu heshima inakuwepo coz hataki kuharibu home, pia unajua ww mwizi so roho haiumi, kitu chako mwenyewe ukumkuta na mwingine roho inataka kutoka. Mara nyingi ni mtindo wa nipe nikupe period!
Hawanipati kamwe.................MY WIFE NDO KILA KITUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU.
mimi nimeoa lakini nalizika na girlfriend wangu ambae nae ameolewa. Tunapeana tunacho miss ktk ndoa zetu. Na cha kuiba ni kizuri sikuambie mtu....
huogopi kuwa kuni za jehnamu?