Mama Brian
JF-Expert Member
- Feb 7, 2010
- 320
- 21
Nakubaliana na wewe. Mimi niliwahi kuwa na uhusiano wa namna hii, Binti kila wakati akipiga simu ni shida tu, mara gari inahitaji service na sina hela, ukiwa safari utamsikia "nna shida ya 50,000/= naomba unitumie kwa M-PESA", ukikutana naye yaani analia shida weeee, mpaka hamu ya kujifunika naye kwenye Shuka inapotea, inabidi uzushe dharura ili uachane naye kwa kuchoshwa na maelezo ya Shida. Ukiset naye appoitment atakutajia kiwanja cha bei ghali na atatumia vitu vya bei ghali kweli, halafu baadaye anakwambia nna shida ya 100,000/= naomba unisaidie, Akikaa siku mbili, naomba unitumie vocha, mama kanipigia ameniambia anaumwa na hatukumaliza mazungumzo. Duuhhh,
taratibu mtoto wa watu nikasepa.
Poleni sana mn aopenda mabinti wa nje kumbe ndo matatizo mnayokumbana nayo, hapo bado watoto wanahitaji ada sasa hizo pesa ungetulia na wife wako si mngefanya mambo mya maana, hapo hapo bado unajichumia dhambi tu!