Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Jaribu kumweleza kana kweli anakupenda atakuskiza na akisisitiza,hapo hakuna mapenzi ila ni kukutumia kwa starehe zake
 
jamaa wakati anazamisha yote alikuwa amelewa...

ww je, ulikuwa hujalewa???

maana walevi akili zao hufanana iweje ww ukakubali ushauli wa mlevi ilihali unajua maamuzi yao ni ya [HASHTAG]#kimaku[/HASHTAG]

na inaonekana huo mchezo uliuanza ktambo kdogo sasa hivi ww ni marikia wa tigo, maamuzi yako ndo yanayo kufaa unajua utamu na uchungu wa tigo pia usisahau mrejesho baada ya yote.
 
Jamani naomba kuuliza maana nimetokea kujilaumu sana kujaribu hiki kitendo. Mimi ni mtu nilielelewa kidini na kimaadili sana ila tangu nimeanza chuo nimejikuta najaribu vitu tofauti ambavyo sikufanyaga nikiwa nyumbani.

Kimoja wapo ni hiki ambacho kilitokea nikiwa na mpenzi wangu ambae nipo nae hadi sasa tukiwa tunapoozeshana iliingia kunako kibahati mbaya(alikua amelewa) ila aliendelea kunifanya nikajikuta nanogewa na kupenda.

Imekua mchezo wa mara kwa mara na mbaya zaidi nikiwa nasali au nikiwa kawaida nakuta na regret na kujilaumu kwanini nafanya ivo na najua fika ni dhambi isiyosameheka.

Naombeni ushauri maybe utanifariji au kunibadilisha maana najaribu kuacha siwezi hasa pale mwenza ananitisha kuniacha.
Nenda kwa gwajima akuombee
 
:p:p:p:p:p:(:(:( nipo nawaza jinsi ilivyotokea apa sipat majibu kbs :D:D:D at first mlifanya na still umkaendelea unata kuacha but nguvu za mk.....ndu zinazid akiliii mama iyo ni addiction tiyari pysological kbs
 
Kuna wale wanawake wanavaa zile uume bandia alafu anamfanyia mwanaume kwa nyuma. Na we fanya ivo tuone kama atakubali, akikubali na we endelea kumpa akikataa na we ukatae kumpa tigoo tena
 
Duuuh .....inabidi uamue kutoka moyoni alafu fuata ushauri wa wapiganaji.....Na uwe mtu wa kusoma vitabu vya dini xana vitakusaidia... dont copy others lifestyle
 
maamuzi ya kuamua kuacha au kuendelea yako ndani ya uwezo wako,yako ndani ya akili yako ni wewe mwenyewe uamue kusuka au kunyoa..
 
una roho ngumu sana we dada.......ukatulia tuu....siku zote anakuwa amelewa???anyway ushasema unafurahia....jitahidi uache.......
 
Maelezo yako magumu kuyaelewa.
Unapenda kujaribu~ halafu iliingia bahati mbaya.
Iliingia bahati mbaya akiwa amelewa~halafu akuwa hajalewa anakutishia kukuacha endapo hutampa huduma hiyo.
Kweli?

Ila kwa sababu unatafuta kuacha,ngoja tukusaidie............... Achana naye huyo bwana kama kweli una nia ya kuachana na tabia hiyo. Pata mud wa kutafakari juu ya madhara yake na jinsi ulivyokuwa mkosefu tangu umeanza.
Pata rafiki mpya ambaye hata kwa ulozi hamtafanya uovu huo tena. Bila hivyo itakuwa ni hadithi tu.
Njia ya kuepuka uraibu wa jambo lolote(addiction) ni kuwa mbali na mtu/watu uliokuwa ukishirikiana nao katika uraibu huo
Pole. Inawezekana kama ukiamua
 
Jamani naomba kuuliza maana nimetokea kujilaumu sana kujaribu hiki kitendo. Mimi ni mtu nilielelewa kidini na kimaadili sana ila tangu nimeanza chuo nimejikuta najaribu vitu tofauti ambavyo sikufanyaga nikiwa nyumbani.

Kimoja wapo ni hiki ambacho kilitokea nikiwa na mpenzi wangu ambae nipo nae hadi sasa tukiwa tunapoozeshana iliingia kunako kibahati mbaya(alikua amelewa) ila aliendelea kunifanya nikajikuta nanogewa na kupenda.

Imekua mchezo wa mara kwa mara na mbaya zaidi nikiwa nasali au nikiwa kawaida nakuta na regret na kujilaumu kwanini nafanya ivo na najua fika ni dhambi isiyosameheka.

Naombeni ushauri maybe utanifariji au kunibadilisha maana najaribu kuacha siwezi hasa pale mwenza ananitisha kuniacha.
Mhhh huko nyuma uko sawa kweli ndugu!? Coz hata ukinya mavi magumu tu kunauma..je kiingie kitu mara ya kwanza nausishtuke.. af maelezo yako ni kwamba aliekuingilia ndie aliekuwa amelewa ila wewe mwenyewe ni mzima.. mh mbona haij akilin.. sema tu umezoea tu huo mchezo haijalish umeanza vip au siku ya kwanza ilikuaje.. kifupi tu utubu na uache huo mchezo sio mzur.. mimi pia nilikua napenda kuwaingila wasichana huko nyuma had nikawa addicted kias kwamba hata nikisikia harufu ya mavi najua haya ni ya mtu fulan.. lakn kwa sasa nimeacha na sitaman kufanya tena.. achana nao huo mchezo tamu haramu
 
Jamani naomba kuuliza maana nimetokea kujilaumu sana kujaribu hiki kitendo. Mimi ni mtu nilielelewa kidini na kimaadili sana ila tangu nimeanza chuo nimejikuta najaribu vitu tofauti ambavyo sikufanyaga nikiwa nyumbani.

Kimoja wapo ni hiki ambacho kilitokea nikiwa na mpenzi wangu ambae nipo nae hadi sasa tukiwa tunapoozeshana iliingia kunako kibahati mbaya(alikua amelewa) ila aliendelea kunifanya nikajikuta nanogewa na kupenda.

Imekua mchezo wa mara kwa mara na mbaya zaidi nikiwa nasali au nikiwa kawaida nakuta na regret na kujilaumu kwanini nafanya ivo na najua fika ni dhambi isiyosameheka.

Naombeni ushauri maybe utanifariji au kunibadilisha maana najaribu kuacha siwezi hasa pale mwenza ananitisha kuniacha.

Nadhani utakuwa mwenyewe unapenda,kama ni me au ke basi mmoja wenu atakuwa na uzoefu wa hali hiyo maana kama wote mngekuwa hamjui kitu lazima mngeshtuka
 
Back
Top Bottom