Kwa nini wanawake wengi hawafanyi kitu hiki?

Nyie tusifieni tu lakini sisi kuwasifia lol.

Kwani sisi wanawake tunajijua wenyewe roho zetu. Kukusifia sifia kwa chochote kile ndio mwanzo wa kufanya wanawake wengine nao wakutamani bure.

Na siku zote hakuna mtu anayetaka kunyang'anywa tonge mdomoni.
 
Mkuu ni tatizo kubwa sana linatokea na ndio hawataki kusifia... Ngoja nikupe mfano mmoja ambao ulimkuta dem wangu mwaka jana.

Alikua kila siku anamsifia shogake kwamba (...) nainjoi sana nikiwa nae na pia hana tabia mbaya. Kikubwa zaidi ananigosha sana tukiwa kunako.

Sasa yule shoga mtu akawa anasikia wivu nikisifiwa vile. Na pia akawa anataka kunijua maana alikua hajawahi kuniona alikua akisimuliwa tu na shigake.

Sasa siku moja kwa bahati mbaya sim ya dem wangu ikaharibika akawa anatumia ya yule shogake... Namba si zikabakia na shogake akatamani aonje sifa ninazosifiwa ??? Kudadadeki nikaona sim imeingia nikajua yule dem wangu kumbe shem wangu. Aliniuliza nipo wapi nikamjibu kwasasa nipo Ubungo huku nimekuja kudhurura.

Basi akanambia kuna kitu nataka tuongee lakini naomba nije huko huko uliko sio huku mtaani kwetu. Basi nikamkubalia.

Alikuja tukaongea vizuri tu na siku hiyo akamponda sana dem wangu kwamba hatunzi siri za ndani ikabidi anishawishi twende tukapige show la kirafiki.

Kweli tulikwenda,.. Sasa wakaja kukorofishana na yule shogake, si kale kadada kakamwambia yule dem wangu kwamba hauna lolote wewe kwanza bwana wako nishalala nae duh! Ugomvi ulizidi na mimi kuulizwa sikukataa nilikubali kwamba yeye ndo kasababisha kwa misifa yake.

Yaani mpaka leo hii kale kadem kalinambia kana uja uzito wa kwangu na keshajifungua mtoto. Baada ya kuona huu uzi nimekumbuka kwanini hawataki kusifia.
 
Mwanaume hasifiwi sura...mwanaume anasifiwa kazi...
 
Haa haa aiseee
 
Nyie tusifieni tu lakini sisi kuwasifia lol.

Kwani sisi wanawake tunajijua wenyewe roho zetu. Kukusifia sifia kwa chochote kile ndio mwanzo wa kufanya wanawake wengine nao wakutamani bure.

Na siku zote hakuna mtu anayetaka kunyang'anywa tonge mdomoni.
Tusifieni tu jamani
 
Back
Top Bottom