Kwa nini wanawake wengi hawafanyi kitu hiki?

Siwezi oa mwanamke asiyenisifia ,napenda kusifiwa na wanawake[emoji3]

Walio kwenye ndoa watanitolea povu ngoja niwasubiri
 
Last edited by a moderator:
Mwanamke anayempenda mwanaume na kugundua mwanaume wake ni handsome hawezi

Kumwambia au kumsifia mpenzi wake kuwa wewe ni handsome

Badala yake atakusifia kinyume kuwa una sura ngumu,na ukinuna sasa mtoto anaweza kulia na kukimbia ila nimekupenda tu ulivyo na lisura ligumu

Hawezi kukwambia kuwa rafiki zake wanakusifia kuwa wewe ni handsome
Mfano shost yake anaweza kumtumia sms msalimie handsome wako,akakwambia fulani kakusalimia ulipotaka kuona ile sms ataifuta au ataedit kuondoa lile neno handsome

Eti mnafikiria kuwa mtaibiwa,mbona sisi tunakusifia muda wowote na hata marafiki wakiwasifia tunafikisha kama zilivyo bila kuedit au hata kwa kusema,rafiki yangu x ananiambia una mke mzuri lakini kwa mwanamke kwa nini huwa ni tofauti?
Sasa anaedit vipi sms iliyo inbox? Ile thread anaifanyaje fanyaje?

Bro utakuwa handsome wewe uliyejipa hiko cheo[emoji28][emoji28]
 
nyerere yupo vile vile hajawahi vua kaunda suti yake kwenye elfu moja kuonyesha six packs na watoto wakale wanampenda sasa na wew komaa na sura
 
Mademu bwana sasa kinyaiya si punga yule au wewe unaonaje mwana
[emoji23]hawa mademu wa bongo kuwaelewa tabu sana
Kuhusu kinyaiya mi simsomi kabisa itakua mchicha mwiba. Kuna siku pale channel ten nilimuona yuko na bibi mmoj hvi wanawafunda wadada kuhusu kumridhisha mume[emoji23]
 
Unaona sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yule mchizi bana [emoji23] na kuna kale kanakuaga na kina wema ni ka modal kale nina asilimia 99.9 ki ka bwabwa kwa sababu kila siku kapo na kina wema hata hatuskii kama kamekula alafu pili kamelegea mno sipati picha dada yake yupoje
 
Mwanamke anayempenda mwanaume na kugundua mwanaume wake ni handsome hawezi

Kumwambia au kumsifia mpenzi wake kuwa wewe ni handsome

Badala yake atakusifia kinyume kuwa una sura ngumu,na ukinuna sasa mtoto anaweza kulia na kukimbia ila nimekupenda tu ulivyo na lisura ligumu

Hawezi kukwambia kuwa rafiki zake wanakusifia kuwa wewe ni handsome
Mfano shost yake anaweza kumtumia sms msalimie handsome wako,akakwambia fulani kakusalimia ulipotaka kuona ile sms ataifuta au ataedit kuondoa lile neno handsome

Eti mnafikiria kuwa mtaibiwa,mbona sisi tunakusifia muda wowote na hata marafiki wakiwasifia tunafikisha kama zilivyo bila kuedit au hata kwa kusema,rafiki yangu x ananiambia una mke mzuri lakini kwa mwanamke kwa nini huwa ni tofauti?
Ana - edit-ije sms iliyoko inbox? EMBU SEMA
 
Ukiwa na pesa utaitwa handsome.. Kama hakuna mshiko hata u-scrub mwaka mzima bado utaambiwa sura ngumu

kati ya huyu mumewe wa kwanza na huyo mumewe wapili nani handsome? but kwenye account salio ndo lilimfanya kutokuona makovu ya seal
46-838532.jpg

kl_2116079b.jpg

dpa-british-singer-seal-and-his-wife-german-topmodel-heidi-klum-kiss-D3MBAN.jpg
 
Last edited:
mim x wangu alikuwa akiniita love au handsome hapo najua mbele lzm nikutane na ukakasi wa muamala
 
Back
Top Bottom