HB wa kigogo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 2,489
- 6,251
Dingi una kimbilia wapi? Inna amekufanyaje?Sina la kuongezea zaidi ya kukutakia
Usiku Mwema [emoji124] [emoji124]
Dingi una kimbilia wapi? Inna amekufanyaje?Sina la kuongezea zaidi ya kukutakia
Usiku Mwema [emoji124] [emoji124]
Sawa bora umenipunguzia mzigo[emoji124] [emoji124] [emoji41]ila wewe hb wangu nmekupenda hvyo hvyo pesa tutatafuta
hamna tupo bhana ambao tunaangalia upendo tatizo mnajishtukia tuUpendo wa kweli ni upendo wa AGAPE tu, mengine tunadumu na kudanganyana
unajua vile nakupenda...mzigo uko pale paleSawa bora umenipunguzia mzigo[emoji124] [emoji124] [emoji41]
Mkinzamo upo kila sehemu..Mleta mada, naona unashindana na dada zako kwa wivu.... tehteehhh
Ajafanya kitu, nilikua namsabahi tuDingi una kimbilia wapi? Inna amekufanyaje?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mleta mada, naona unashindana na dada zako kwa wivu.... tehteehhh
Mmmmhhhunajua vile nakupenda...mzigo uko pale pale
Kiongozi vipi tena?Sawa bora umenipunguzia mzigo[emoji124] [emoji124] [emoji41]
Nipo mkuu, najaribu kujipitisha mbele nionekane kama nipo....Kiongozi vipi tena?
Kama upo hivyo inapendeza. Ila kwenye 10 utapata wawilihamna tupo bhana ambao tunaangalia upendo tatizo mnajishtukia tu
Ndugu mjumbe, naomba niunge mkono hojaMkinzamo upo kila sehemu..
Karibu kiongoziNipo mkuu, najaribu kujipitisha mbele nionekane kama nipo....
Ahsante kwa ushirikiano mujarabu katika suala hili la kizalendo..Ndugu mjumbe, naomba niunge mkono hoja
Nimeshafika Mh Inspekta JeneraliKaribu kiongozi
ninayo sanaaMmmmhhh
Kuwa na huruma bana
na mm nashangaa mdomo umebaki waziAlafu.....
Tangu lini vijana mmeanza hii tabia ya kusifiwa kama dadazenu....[emoji20][emoji20]
Naomba niseme wazi kwamba, nimepata mashaka na vinasaba vya jinsia yako
Nina mashaka na hiyo huruma maana vitu vinavyofanya asilimia kubwa ya watu wakose huruma, mojawapo umekionesha....ninayo sanaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]na mm nashangaa mdomo umebaki wazi