Kwa nini wanawake wengi hawafanyi kitu hiki?

Mwanamke anayempenda mwanaume na kugundua mwanaume wake ni handsome hawezi

Kumwambia au kumsifia mpenzi wake kuwa wewe ni handsome

Badala yake atakusifia kinyume kuwa una sura ngumu,na ukinuna sasa mtoto anaweza kulia na kukimbia ila nimekupenda tu ulivyo na lisura ligumu

Hawezi kukwambia kuwa rafiki zake wanakusifia kuwa wewe ni handsome
Mfano shost yake anaweza kumtumia sms msalimie handsome wako,akakwambia fulani kakusalimia ulipotaka kuona ile sms ataifuta au ataedit kuondoa lile neno handsome

Eti mnafikiria kuwa mtaibiwa,mbona sisi tunakusifia muda wowote na hata marafiki wakiwasifia tunafikisha kama zilivyo bila kuedit au hata kwa kusema,rafiki yangu x ananiambia una mke mzuri lakini kwa mwanamke kwa nini huwa ni tofauti?
Jikubali mwenywe usisubiri sifa za kupewa utaumia , unaambiwa una mua kumbe bamia
 
Mwanamke anayempenda mwanaume na kugundua mwanaume wake ni handsome hawezi

Kumwambia au kumsifia mpenzi wake kuwa wewe ni handsome

Badala yake atakusifia kinyume kuwa una sura ngumu,na ukinuna sasa mtoto anaweza kulia na kukimbia ila nimekupenda tu ulivyo na lisura ligumu

Hawezi kukwambia kuwa rafiki zake wanakusifia kuwa wewe ni handsome
Mfano shost yake anaweza kumtumia sms msalimie handsome wako,akakwambia fulani kakusalimia ulipotaka kuona ile sms ataifuta au ataedit kuondoa lile neno handsome

Eti mnafikiria kuwa mtaibiwa,mbona sisi tunakusifia muda wowote na hata marafiki wakiwasifia tunafikisha kama zilivyo bila kuedit au hata kwa kusema,rafiki yangu x ananiambia una mke mzuri lakini kwa mwanamke kwa nini huwa ni tofauti?
Wee endelea kukaa nyuma ya keyboard..... endelea kusubiria kusifiwa u-handsome wakati pesa huna..... Tutakula huo uhandome eeeeeee....... Ppppppttttyyyyuuuuuu!
 
Last edited:
Duuuh mwanume unalilia kusifiwa uhandasome? Maybe kweli kabisa, wanaume tumetofautiana sanaaa sana
 
Back
Top Bottom