Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,840
1.Wanaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini wao hawaolewi:
(a)Miili yao imepitwa na wakati?
(b)Labda wanashindwa mechi?
2. Wafanyeje ili nao wapate wanaume wa kuwaowa?
(a)waifanyie miili yao diet/kujikondesha ili wawe wembamba?
(b)Waanze kuwatongoza wanaume?
NALILETA MEZANI TULIJADILI.
Nimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa nini?