Walioko kwenye ndoa nisaidie katika hili,Najua shida hazivumiliki lakini kitendo cha kipato kususua sua japo kwa siku 10 kinaweza kumfanya mke afungashe vilago au kuachika,kwa nini?
zamani mama zetu walivumulia sana katika ndoa ambapo kama uchumi ungeyumba kidogo walikuwa wanavumilia hadi hali inakuwa nzuri tofauti na wake zetu wa sasa!.
mke anajua kipato chako,mshahara wako na anajua vema kwamba siku za mshahara bado au una dill mahali umelipwa cheki na ameiona kwamba haijaiva benki lakini analalama we mpaka mimi nasikia hasira sana!
Mwanzo nilifikiri iko kwangu tangu lakini baada ya kuongea na wenzangu wamedai hata wao ni hivyo hivyo! mke anataka kila akitaka kufua nguo zako basi akute tu wekunde wa msimbazi umepangana kila siku!
Wanawake nawaomba mbadilike,mimi wife nimemwelezaa wazi wazi amehaidi ku-change lakini siamini!
mkuu mi hiyo niliidhibiti,tangu nimefunga ndoa sikuwahi kumpiga wyf,wakati nilikuwa nikiyumba kidogo huku tarehe bado analeta leta mdomo.siku nimepokea cheki sikumwambia,nikawa nimeificha home kama siku mbili hivi huku tukiendelea kudunduliza,alipofungua mdomo nilimtia bonge la kofi,afu nikamwambia kama baba yake ni mengi au bhakresa basi afungashe vyake akaishi kwao ambako hakuna matatizo ya kiuchumi.nikamucha analia nikaenda benki,ndani ya kama dk 40 hivi nikamletea laki,nikamwambia hiyo ni nauli yake,anaweza kuondoka muda wowote akijiskia.halafu mi nikapotea home nikarudi jioni.niliporudi nikakuta ameenda msosi na kila kitu kiki shwari na kawa mpole kishenzy.tangu siku hiyo,hata nikiishiwa huwa hapanua mdomo.
Mwanamke gani huyo siku kumi tu kipato kikisua anafungasha?
mambo mengine huwa mnayasababisha nyie wenyewe wala msisingizie wanawake. Yawezekana mkeo anajua kabisa unaishiwa kwa sababu ya nyumba ndogo zako ulizonazo, hivi mke kama huyu ukimwambia umeishiwa atakuelewa kweli??

Kumbe hujui wanawake wa sasa wewe
Walioko kwenye ndoa nisaidie katika hili,Najua shida hazivumiliki lakini kitendo cha kipato kususua sua japo kwa siku 10 kinaweza kumfanya mke afungashe vilago au kuachika,kwa nini?
zamani mama zetu walivumulia sana katika ndoa ambapo kama uchumi ungeyumba kidogo walikuwa wanavumilia hadi hali inakuwa nzuri tofauti na wake zetu wa sasa!.
mke anajua kipato chako,mshahara wako na anajua vema kwamba siku za mshahara bado au una dill mahali umelipwa cheki na ameiona kwamba haijaiva benki lakini analalama we mpaka mimi nasikia hasira sana!
Mwanzo nilifikiri iko kwangu tangu lakini baada ya kuongea na wenzangu wamedai hata wao ni hivyo hivyo! mke anataka kila akitaka kufua nguo zako basi akute tu wekunde wa msimbazi umepangana kila siku!
Wanawake nawaomba mbadilike,mimi wife nimemwelezaa wazi wazi amehaidi ku-change lakini siamini!
Hawajui itakua, watoto hawana hila vyote anvitaka yeye ana kazi kipato kizuri bado anataka na za kwangu, yeye zake zinaishia saluni kwenye kubadilisha manywele ya kila aina
uongo mwingione bhana!!