Kwa nini wanawake wanashindwa kuishi kwenye shida katika ndoa!

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
Walioko kwenye ndoa nisaidie katika hili,Najua shida hazivumiliki lakini kitendo cha kipato kususua sua japo kwa siku 10 kinaweza kumfanya mke afungashe vilago au kuachika,kwa nini?

zamani mama zetu walivumulia sana katika ndoa ambapo kama uchumi ungeyumba kidogo walikuwa wanavumilia hadi hali inakuwa nzuri tofauti na wake zetu wa sasa!.

mke anajua kipato chako,mshahara wako na anajua vema kwamba siku za mshahara bado au una dill mahali umelipwa cheki na ameiona kwamba haijaiva benki lakini analalama we mpaka mimi nasikia hasira sana!

Mwanzo nilifikiri iko kwangu tangu lakini baada ya kuongea na wenzangu wamedai hata wao ni hivyo hivyo! mke anataka kila akitaka kufua nguo zako basi akute tu wekunde wa msimbazi umepangana kila siku!

Wanawake nawaomba mbadilike,mimi wife nimemwelezaa wazi wazi amehaidi ku-change lakini siamini!
 
mkuu mi hiyo niliidhibiti,tangu nimefunga ndoa sikuwahi kumpiga wyf,wakati nilikuwa nikiyumba kidogo huku tarehe bado analeta leta mdomo.siku nimepokea cheki sikumwambia,nikawa nimeificha home kama siku mbili hivi huku tukiendelea kudunduliza,alipofungua mdomo nilimtia bonge la kofi,afu nikamwambia kama baba yake ni mengi au bhakresa basi afungashe vyake akaishi kwao ambako hakuna matatizo ya kiuchumi.nikamucha analia nikaenda benki,ndani ya kama dk 40 hivi nikamletea laki,nikamwambia hiyo ni nauli yake,anaweza kuondoka muda wowote akijiskia.halafu mi nikapotea home nikarudi jioni.niliporudi nikakuta ameenda msosi na kila kitu kiki shwari na kawa mpole kishenzy.tangu siku hiyo,hata nikiishiwa huwa hapanua mdomo.
 
Mwanamke gani huyo siku kumi tu kipato kikisua anafungasha?
 
safi sana mkuu, maana hivi viumbe kama watoto kabisa
 
mambo mengine huwa mnayasababisha nyie wenyewe wala msisingizie wanawake. Yawezekana mkeo anajua kabisa unaishiwa kwa sababu ya nyumba ndogo zako ulizonazo, hivi mke kama huyu ukimwambia umeishiwa atakuelewa kweli??
 
baadhi wanakuwa na logic katika madai yao lakini wengi wao ni ujinga wa kike kike tu
 
Kiukweli mwanamke ambaye hajafanya bread winning suala la kuishiwa na unafanya kazi anayoiona ina mshahara mkubwa anaona kama haiwezekani. Anajua benki kuna mamillioni tu, huwezi ishiwa.
Ila hawa wengine ambao ni wapambanaji wenzetu huku wanaelewa tu, nadhani hiyo ni draw back ya women ambao either hawana kipato ama hawahusiki katika kuchangia pato la familia (Na hasa hawa ambao wanafanya kazi ama biashara lakini hawachangii.
Hela zake akizipata anahifadhi na unapomwambia kuwa hujahifadhi chochote anaona kama wewe ni mfujaji wa hela na anasahau kuwa matumizi yote wewe ndio unatoa)
All in all ni ndoa chache sana ndo zimejaliwa wanawake walio conscious na pato la familia...
Mnaweza kupanga kitu ukamwambia ntaweza kutoa labda laki7 siku anaitaka hiyo hela anasema ungefanya 9 ndio itaenda vizuri..ukisema huna anashangaa mwanaume gani unakosa laki2. akisahau hiyo laki7 ni hela pia!!
 
yaani ninakubaliana na wewe kabisa! saa zingine wanaume mjiulizage kwanini tunawabana ktk masuala hayo...
mambo mengine huwa mnayasababisha nyie wenyewe wala msisingizie wanawake. Yawezekana mkeo anajua kabisa unaishiwa kwa sababu ya nyumba ndogo zako ulizonazo, hivi mke kama huyu ukimwambia umeishiwa atakuelewa kweli??
 
Kuna changamoto moja kwetu wanaume. Kama unajua hela yako unaipata kwa mkupuo (kama mshahara) Mpe mama saizi yake aibajeti kwa mwezi huo. Ila hii tabia ya kutoa noti moja moja kila asubuhi kusubiria asante inawaumiza. Kama umekadiria kwa mwezi labda matumizi ni 200,000, mpe mama ahangaike nazo, wewe weka emergency pembeni pambana na kazi. vinginevyo itakua tatizo kila wakati. Kwa wale vipato visivyotabirika, nadhani wenye uzoefu mzuri watasaidia njia nzuri.

Vinginevyo, kwa mwanaume uliye muwazi na kipato chako ikatokea umekwama, sitaki kuamini kama mke anaweza kutishia kuondoa, ila kama kipato hamna na haoni juhudi zako juu ya kusakanya kwa nini asikutishie ili uamke? kuna wengine akili zao ili zifanye kazi vzr wanahitaji vitisho vitisho tu.

Walioko kwenye ndoa nisaidie katika hili,Najua shida hazivumiliki lakini kitendo cha kipato kususua sua japo kwa siku 10 kinaweza kumfanya mke afungashe vilago au kuachika,kwa nini?

zamani mama zetu walivumulia sana katika ndoa ambapo kama uchumi ungeyumba kidogo walikuwa wanavumilia hadi hali inakuwa nzuri tofauti na wake zetu wa sasa!.

mke anajua kipato chako,mshahara wako na anajua vema kwamba siku za mshahara bado au una dill mahali umelipwa cheki na ameiona kwamba haijaiva benki lakini analalama we mpaka mimi nasikia hasira sana!

Mwanzo nilifikiri iko kwangu tangu lakini baada ya kuongea na wenzangu wamedai hata wao ni hivyo hivyo! mke anataka kila akitaka kufua nguo zako basi akute tu wekunde wa msimbazi umepangana kila siku!

Wanawake nawaomba mbadilike,mimi wife nimemwelezaa wazi wazi amehaidi ku-change lakini siamini!
 
wengine vipato vikishuka ndio tunazidisha mahaba ili bwana asikonde kwa mawazo. pole lakini
 
uongo mwingione bhana!!

Sina uhakika kama ni uongo lakini ukitaka kumpima mwanamke kama anakupenda ni kipindi cha matatizo. Vivyo hivyo ukitaka kumpima mwanaume kama kweli anamthamini mke wake ni kipindi cha neema.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom