Rutunga M
JF-Expert Member
- Mar 16, 2009
- 1,769
- 1,382
Walioko kwenye ndoa nisaidie katika hili,Najua shida hazivumiliki lakini kitendo cha kipato kususua sua japo kwa siku 10 kinaweza kumfanya mke afungashe vilago au kuachika,kwa nini?
zamani mama zetu walivumulia sana katika ndoa ambapo kama uchumi ungeyumba kidogo walikuwa wanavumilia hadi hali inakuwa nzuri tofauti na wake zetu wa sasa!.
mke anajua kipato chako,mshahara wako na anajua vema kwamba siku za mshahara bado au una dill mahali umelipwa cheki na ameiona kwamba haijaiva benki lakini analalama we mpaka mimi nasikia hasira sana!
Mwanzo nilifikiri iko kwangu tangu lakini baada ya kuongea na wenzangu wamedai hata wao ni hivyo hivyo! mke anataka kila akitaka kufua nguo zako basi akute tu wekunde wa msimbazi umepangana kila siku!
Wanawake nawaomba mbadilike,mimi wife nimemwelezaa wazi wazi amehaidi ku-change lakini siamini!