Kwa nini wanawake hulia siku ya ndoa...

Kwa nini wanawake hulia siku ya ndoa...

Mie jamani wala sikulia. Na waliokuwa wanalia niliwashangaa. Hawana lolote walilia kwa kupungukiwa na nguvu kazi ya kuosha vyombo na kupiga deki home.
 
wanaolia wanajutia uamuzi kwani bado hawakuwa wamemaliza mambo yao ya kitaan chezea mpododo weye!!
 
Back
Top Bottom